Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,188
- 128,285
Asipo kwenda Kitila Mkumbo basi anajimaliza kisiasa,Mwigulu ni jembe sana,mbali ya siasa ameamua kuwakutanisha wadau wote kwa umoja wao kujadili hatima ya jimbo na wilaya yao.
naona watumwa mmenunuliwa maasai shuka za kuzugia hapo iramba.