Wito: Kwa wanyiramba wote

Wito: Kwa wanyiramba wote

Tuna uhakika gani na usalama wetu. Mwigulu ni muuaji mkubwa,msiende mtakufa.
 
Nasikia sikia ilo Tangazo la kikabila
"Vox populi Vox dei"
 
Asipo kwenda Kitila Mkumbo basi anajimaliza kisiasa,Mwigulu ni jembe sana,mbali ya siasa ameamua kuwakutanisha wadau wote kwa umoja wao kujadili hatima ya jimbo na wilaya yao.
Jembe hili mpini wake ni babu mamvi, kwi kwi kwi !!!
 
hakyanani msisahau bullet proof maana huyo ndo mlipua mabomu mwenyewe maskini wanyiramba.
 
Back
Top Bottom