Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Mimi nikiwa kama paroko wa MMU nimeamua kumchagulia hii
Paroko mwenzangu wa Chit-Chat naomba baraka zako!!
"Dont judge my behaviour it depend on who you are"
hiyo avatar ya miss neddy amu umeipenda? mi inanipa stress mbaya..walau awe na kama ya kwako
yaani ukiwategemea hao ni sawa na mtu amtegemee mwanadamu...utakuwa umelaaniwa....au akili sio nzuri,,,siku hizi kila mtu tu anajifia kivyake vyake...forget about them
how can you forget about them Kaizer ujifie kivyako kama hukupiga kura vinginevyo ni haki yako kudai mabadiliko
Switieeeeee! Naheshimu sana mawazo yako!
Wewe ni great thinker kabisaaaa!
Wachane wakuelewe!
sasa miss neddy hadi 2015 unadhani kutabaki kitu? maana 2015 ndo tunapiga kura rasmi....
wabheja sana Excel hapa ndo nishampindua Angelicious au maana hata huogopi kuniita sweet hadharani
hako katoto...walau ungekuwa unakaa siasani moja kwa moja afadhali, mimi huwa siendi sana huko
do me a favor (na paroko Eiyer afurahi pia) please
Lakini walituhidi.
Ahadi ni deni.
umeona eeeeeeeeehSasa Miss Nerdy atoe hio aweke ipi? Hao wa hivyo si ndio wanejaa mitaani!? Big up ila mkomao ni sasa wala si 2015
na dawa ya deni ni kulipa
miss neddy ni mpenzi wangu mimi!
Mimi ndie certified user wa huyu mrembo!
Wewe unakuja kuanzisha uzi hapa una interest gani nae?
Aisee mtuwache tulale!
Kwanza leo nimepewa assignment na huyu mrembo! Naifanya nikiwa ....! Teh! Mtuwacheeeeeeeee!
taratibu Excel mbona unamwaga mtama kwenye kuku wengi tenaaaaaa
umeona eeeeeh na mdeni akishindwa kulipa dawa ni kugoma kumkopesha tena lini next year october