Mimi nikiwa kama paroko wa MMU nimeamua kumchagulia hii
Paroko mwenzangu wa Chit-Chat naomba baraka zako!!
hii naipitisha yaani ni 100% CC na MMU certified miss neddy sijui yuko jukwaa gani sasa hivi.....nadhani hata Tyta ataipitisha
There is something fishy........ Kaizer threading miss neddy??
"Dont judge my behaviour it depend on who you are"
hiyo avatar ya miss neddy amu umeipenda? mi inanipa stress mbaya..walau awe na kama ya kwako
si kazi rahisi kwa ule mtiti wa siku ile...miss neddy kuja pande hii...
Hata mimi ccm sina hamu nao walituahidi ajira nyingi,elimu borq afya bora bali sasa wao ndo wanatajirika
Rightnow niko chomboni naendesha NiKiSiMaMiShA ntachangia .
si kazi rahisi kwa ule mtiti wa siku ile...miss neddy kuja pande hii...
yaani ukiwategemea hao ni sawa na mtu amtegemee mwanadamu...utakuwa umelaaniwa....au akili sio nzuri,,,siku hizi kila mtu tu anajifia kivyake vyake...forget about them
avatar naipenda mnoooooooooi ndo mana hata jukwaaa la siasa siendagi kwa cheche zangu wanaweza kunipiga ban mnivumilie tu mpaka 2015 ntaitoa