The Game Changer
Member
- Jan 16, 2015
- 49
- 35
Habari za Weekend Wakuu..
Kumekuwa na report mbalimbali za watanzania wenzetu wa asili ya kiafrika kubaguliwa sehemu mbali mbali kama mahoteli, migahawa, maduka na kadhalika. Mfano, una pesa yako, unaenda hotelini na huduma mpaka ubembeleze. Wakati huo huo akitokea mtu wa jamii nyingine anakimbiliwa kama mpira wa kona. Mi mwenyewe nimekuwa muhanga wa hili sehemu mbalimbali.
Mfano nilienda duka moja la mhindi pale dodoma (Bahati mbaya sikumbuki jina la duka lakini ni kwenye round about opposite na dodoma wimpy,kwenye kituo cha mafuta). Nimesimama naomba huduma kwa muhindi anajifanya yuko busy. Wakati nasubilia kupata huduma wakaja raia wa kizungu ndo nikapotezewa kabisa. Ikanibidi niondoke tu maana nilikuwa naendelea na safari.
Pia imenitokea maeneo ya slipway na sehemu kadhaa ambapo unaona ubaguzi wa wazi kabisa. Kumbuka unao uwezo wa kununua hiyo service au bidhaa lakini unabaguliwa.
Mwaionaje hii jamani ? Tukubali kubaguliwa kwenye nchi yetu mpaka lini ? Mwaonaje tukianzisha boycott na kuyaanika maeneo hayo kwenye mitandao au special page kwenye JF ili kila mtu ayajue na tususie kwenda maeneo hayo ? Wanasiasa wetu wanatusaidiaje kwa hili. Inaumiza sana kuona unabaguliwa hata kwenye nchi yako mwenyewe.Tafadhari tupieni mawazo...This has to end.