Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,902
- 155,982
Kwa nini ulazimishe ndoa?
Tena kwa binadamu
Kama unataka ndoa muulize mungu
Kama alivompatia adamu mke na wewe atakupatia wa ubavu wako
Pole sana
Kuzaa sio kwamba ndo utaolewa tena
Subiri mume wako toka kwa bwana
Pata Mimba Ulee
tokea kwaresma ilipoanzaWewe umeokoka lini?
tokea kwaresma ilipoanza
Tumekuwa wapenzi kwa mwaka na miezi sasa, nikadhani nikinasa basi itakuwa rahisi kwa mwenzangu kutangaza ndoaKwani mlikuwa mmepanga na kukubaliana mambo ya ndoa au hayo mawazo ya ndoa yamekuja baada ya jamaa kuchana nyavu?
mh! smile...........!!Kwa nini ulazimishe ndoa?
Tena kwa binadamu
Kama unataka ndoa muulize mungu
Kama alivompatia adamu mke na wewe atakupatia wa ubavu wako
Pole sana
Kuzaa sio kwamba ndo utaolewa tena
Subiri mume wako toka kwa bwana
Shosti, yamekuwa hayooo!!!!Pata Mimba Ulee
kazi kweli kweli, wa kukuoa wala haitaji mimba....wakati ukifika ataamua tu lile limpendezalo...lea mtoto wako Gilesi,unaweza na Mungu akusaidie!Tumekuwa wapenzi kwa mwaka na miezi sasa, nikadhani nikinasa basi itakuwa rahisi kwa mwenzangu kutangaza ndoa