Na pengine itakuwa vema wale wote waliowaanda wanachama wao kupambana na jeshi la polisi wajiuzulu
Na hapa bila kumumunya maneno Slaa, Mbowe wajiuzulu??? siasa imewashinda wanataka kupambana??
Wajiunge na jeshi kwani jeshi kazi yake ni kupambana na wavunjifu wa sheria na wachochezi
Eti tunataka nchi isitawalike kama hiyo maono ya Slaa! basi kero kwa jamii yetu lol
Nchi isipotawalika anapata faida gani? au kwakuwa hana family ana vipenzi vya muda tu????
Kwisha habari yako wale wale wanachama wa cdm...ngoja mvunjwe miguu...
Kama kwenye laptop unatukana kwa kosa hoja ..kwanini nisiamini kuwa ndivyo mlivyo
eti na wewe utakuwa mbunge ..what a worst?
nyinyi hebu tulieni muiache serikali ifanye kaziSaidi Mwema ni lazima ajiuzulu kwa mauaji haya. La sivyo Mungu atamshushia laana kali sana kwa damu za watu hawa wasio na hatia waliopoteza maisha yao. Huyu ni muuaji, lazima ajiuzulu mara moja huku akisubiri zamu yake ya kwenda The Hague.