Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Ye ana yake na mimi nina yangu na wewe una chako...kutesa kwa zamu.
Kwanza vifanyio havina expire date shida yako nini?
Copy kwa Arushaone
Waooooooh!heeee!!!!!!!! Mmmh!!!!!!!! Sikuwezi!!!! Nimekukubalia ila Arushaone asijue please
hahaaaaaa.... cousin wacha mineno!!!!
Sawa...!poa honey wangu Erickb52...
Waooooooh!
Usijali Lady doctor nitaitunza siri hii
Njoo sasa nikupe wewe kwanza nitafurahi kukutana uso kwa uso na Kiwowowo
We unanitaka kama The secretary eeehcousin uscheke ati, huyu Erickb52 si wakuchekewa anaelekea pabaya
Hilo bolded ndio la msingi Lady doctorsiri gani!? Halafu mi wala sikusemei
We unanitaka kama The secretary eeeh
Mimi nawaangalieni tu.......naona mnamshika simba sharubu.
Hilo bolded ndio la msingi Lady doctor
We endelea tu nakutizama...mwisho wako naujuaChocs ana cha kwake special....cha sweetlady ni cha kipekee Lady doctor ila hiyo ndio inamfaa sana sweetlady maana nahisi ameimiss sana :help: