Witchdoctor

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,315
Jamaa kaenda Ulaya kwa ndugu yake na kingereza cha kuunga unga cku moja amekaa akagizwa dukan kununua mahitaji ya home akiwa ameshanunua baadhi ya mahitaji ikawa imebaki kununua mayai akawa anafikiria kwa mda mayai ya kienyeji yanaitwaje ghafla likamjia jina la mganga wa kienyeji anaitwa Witch doctor bas bhana ikabid amwambie muuzaji give me witch eggs. ilibid muuzaji asikie hasira na kumfukuza jamaa dukan kwake
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…