Wishing you a holy good friday

miss neddy haya majukumu acha tu, natamani nijikatekate ivi kila kiungo kifanye kazi yake....mzima lakini?

hahahahah usiseme hivyo bhana muhimu ufanye kila kitu kwa muda muafaka na ratiba yako upange vizuri upate na muda wa kupumzika
anyway mi mzima wa afya
 
Last edited by a moderator:
hahahahah usiseme hivyo bhana muhimu ufanye kila kitu kwa muda muafaka na ratiba yako upange vizuri upate na muda wa kupumzika
anyway mi mzima wa afya

Asante sana miss, weekend inaanza hiyo inakuaje???
 
Last edited by a moderator:
Thank you KOKUTONA,
Ubarikiwe mpaka ushangae Mpendwa.
 
Last edited by a moderator:

Thank You and Happy Holidays lovie.

We should hang out one of this fine days.

I promise not to drink:smile:
 
Last edited by a moderator:

Ahsante mpenzi kwa kunikumbuka nimeshangaa KOKUTONA kunisahau wakati kila siku namwambia mwanya wake unanitesa....

Ahsante Munkari kapu la baraka likuelemee Leo....
 
Last edited by a moderator:
mine too goes to my wife, one and only, my queen... miss neddy!...

mwanangu mpendwa..... nameless girl... love you much my princess!

all my best friends and jf members, Mr Rocky, Eiyer, Tized, Mndengereko, utafiti, miss chagga, Karucee, DEMBA, (@maria roza.. uko kwenye bracket..), KOKUTONA and Eli79, binam yangu mango g, Window7, J.lee, Exceptional, Rich Polna mbebez wake charty, kiwatengu and shansarie, wakwe zangu wa ukweli Lady doctor na Arushaone, uran na mkewe 'Valentina', ICHANA, ameline..,,, Jerrymsigwa, OLESAIDIMU.. nk! ...

guys, i missed you all, i missed you a lot!--- happy holy friday!
 
Last edited by a moderator:
Eti unajidai kuanza na OLESAIDIMU baada ya kuona Eiyer humpati. Nakuacha sababu ni Ijumaa kuu.

Hppy Holidays.

hahahahaha happy holiday you too
acha wivu bhana hao niliowataja ni sababu koku kawasahau
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

ahsante my king heri na fanaka zimiminike kwako zaidi lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…