Wishing you a holy good friday

Halafu wewe sikukuu umeilia wapi Mkuu..? Maana pande zote za ibada hukuonekana au ndo ulikuwa milimani huko..?

Nilikuwepo mkuu hapahapa dar, si unajua dar sasa hivi ni kilimo cha kambale, kwenye ibada zote nilikuwepo kasoro zile za monde, tutafutane mkuu japo kwenye tafakuri
 


Nashukuru kwa salamu
Majukumu ya nji hii yamenizidi hadi nasahau kuongea kwa vidole
Ila tupo pamoja
Nitaanza kuijongelea tarakirishi mpakato tena

Wasalaam
Bazazi
 
pamoja ya kuwa nimechelewa nami nakutakia siku njema na maisha mema na yenye baraka tele.
nalog off
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…