Halafu wewe kwanini haujalala hadi sasa hivi ujue nakusubiriaHongera PAW.
Happy Birthday Paw....naomba nikushikie umodereta kipindi hiki ambacho unasherekea birthday yako
Nimecheki naye anasema atanipa usiku huu huu mtanikoma mtachezea ban kama mvuamwombe password ili anayeleta fujo tu tunamdelete kwenye seva
Halafu wewe kwanini haujalala hadi sasa hivi ujue nakusubiria
Happy Birthday Paw....naomba nikushikie umodereta kipindi hiki ambacho unasherekea birthday yako
dah...Happy birthday Paw
Issue ni kwamba ningependa nione jisi watu tunajishaua hapa kumuwish, ili tusipate ban lol😛oa
sweetie ivi Paw inawezekana akapenda bia?
ooooh,,,,
Mie i second..... Utafaa kabisa....lolz
(Alafu nenda page ya 10 ya PA hapa... Kongosho mkorofi....lol)
Kwa masaa 24 ntagawa ban kwa kila ambae hatonigonge like.