Maneno ya hekima huuponya moyo unaougua, hufariji waliovunjika na huwapa nguvu waliokata tamaa!
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya maneno mbalimbali ya hekima “WISDOM CORNER” unaweza kushare motivation/inspiration qoutes au post zozote za hekima/wisdom huwezi jua nani utamsaidia humu kwa maneno hayo hata kama umewanukuu wengine!
Let’s get started IT WILL GET BETTER AND THINGS WILL BE THE SAME AGAIN ~ LOYANI KISULA