Tangu asbuhi nadownlod zune package af adi sasa ina 30% c mchezo jmn watasha km kna mtu ana zune setup nionee huruma mnitumie jmn,ambae anayo anitumie hapa>jaycomfaces@gmail.com
Acha kutumia mitandao ya kizeembe/wifi mbona humu jukwaani kuna m2 anagawa internet ya speed ya ajabu tafuta post yake
Wifi yenyewe utakuta ya chuo hiyo
Anagawaje hio net,em fanya kutupia usernem ake au tulinkishe af tuone inakuaje
mmh! anaitwa nani mwana? tuwekee link yake basi,,,msaada