wireless internet

Adolph

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
895
346
wakuu nimenunua wireless moderm kutoka voda....kiukweli inapiga mzigo kiuhakika na inaspeed ya hali ya juu unaweza ukaitumia hata kwa computer nne kwa wakati mmoja...unaweza ukaitumia kama wireless au ukaconnect kwa sb...nimefanikiwa kwenye laptop ila kwenye desktop yangu ya hp d530 SFF wireless imekataa... nadhani tatizo ni haina drives za wireless...naombeni msaada wa web nitakayopata wireless driver ya hp d530 SFF.....
 
Mkuu na minahitaji moderm yenye speed niliyo nayo ni vodafone,model k 3570-z. Samahani kwakuto jubu swali lako badala yake nimeomba msaada!
 
modem Aina gani? kama ni hizi za usb zinakuja na sw yake ambayo ita-install driver.
k 3570-z nafikili inaweza tumika kama kama wireless interface (badala ya wireless interface card),ambayo huitaji Wireless Access Point to work
 
ni tofauti kidogo....inaitwa Vodafone Mobile WiFi wanaziuza 155,000/= ina speed ya 7.2Mbps...unaweza ukaiconnect kwa kutumia usb wakati huo huo kama wireless ambapo hata kama unacomputer nne au tano unaweza ukaziconnect kwa kutumia wireless....
 
zinauzwa 155,000tsh pale mliman city....kama computer zako hata sita zikiwa na WiFi zote unaziconnect kwa kutumia hiyo moderm moja....speed yake ni 7.2Mbps hizi za kawaida ni 3.2Mbps
 
asante mkuu! minatumia hp 620.vipi inaweza kunifaa ndugu yangu?
 
hakikisha desktop yako ina wireless network card, kwa kawaida desktop nyingi haziji na integrated wireless device hivyo kama utadownload drivers pasipo kuwa na hiyo device ni kazi bure otherwise itahitajika ununue pci card
 
zinauzwa 155,000tsh pale mliman city....kama computer zako hata sita zikiwa na WiFi zote unaziconnect kwa kutumia hiyo moderm moja....speed yake ni 7.2Mbps hizi za kawaida ni 3.2Mbps

mkuu hiyo speed nina wasiwasi nayo kwa hapa bongo..huwa wanaandika tu 7.2Mbps au 3.2Mbps ila haifiki hata nusu yake
 
zinauzwa 155,000tsh pale mliman city....kama computer zako hata sita zikiwa na WiFi zote unaziconnect kwa kutumia hiyo moderm moja....speed yake ni 7.2Mbps hizi za kawaida ni 3.2Mbps

Mkuu, ya kweli hii? maana speed zetu hapa unakuta 3.2 sana wapa 2.4, je weye wapata hiyo spidi kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom