Wireless Home Internet Provider ipi inafaa?

Wireless Home Internet Provider ipi inafaa?

Izi packages kwanini zinatangazwa na watu tofauti kwa bei tofauti?
Kwenye tovuti ya Vodacom wameandika 10mbps kwa 115k na 20mbps kwa 165k pia kupitia email ya Vodacom bei ni iyo. Wewe unadai 20mbps kwa 115k na 30mbps kwa 165k pia kuna thread nne humu zote bei tofauti 30mbps kwa 126k, 20mbps kwa 120k, 10 MBps kwa 115k na 10mbps kwa 115k
115k bei ya mwanzo ilikuwa 10mbps baadae wakapandisha speed kuja 20mbps hii ni 4g

120k na 30mbps hii ni 5g
 
Back
Top Bottom