mdhalendo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 282
- 273
Wakuu kwema?
Kwavile fiber bado ni changamoto maeneo ya Makongo Juu naomba ushauri wenu kuhusu kampuni bora ya unlimited home Internet.
Matumizi yangu ni:
Naomba mapendekezo yenu ni kampuni gani yenye huduma bora (unlimited + high speed + affordable)
Asante sana
Kwavile fiber bado ni changamoto maeneo ya Makongo Juu naomba ushauri wenu kuhusu kampuni bora ya unlimited home Internet.
Matumizi yangu ni:
- Home office (working from home) nina vikao vingi vya Microsoft Teams na Zoom
- Smart Tv kustream content mbalimbali kama YouTube, Netflix etc
- Na matumizi ya kawaida kwenye simu na laptop kama 3.
Naomba mapendekezo yenu ni kampuni gani yenye huduma bora (unlimited + high speed + affordable)
Asante sana
30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G