richie hassan Member Joined Jan 10, 2013 Posts 52 Reaction score 9 Oct 11, 2014 #1 Msaada wireless dongle ni nn?coz nina PC tablet yangu inasoma E nimejaribu Ku set nipate 3g inataka niweke kitu kinaitwa dongle... Je ndo nn
Msaada wireless dongle ni nn?coz nina PC tablet yangu inasoma E nimejaribu Ku set nipate 3g inataka niweke kitu kinaitwa dongle... Je ndo nn
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Oct 11, 2014 #2 richie hassan said: Msaada wireless dongle ni nn?coz nina PC tablet yangu inasoma E nimejaribu Ku set nipate 3g inataka niweke kitu kinaitwa dongle... Je ndo nn Click to expand... Wireless dongle ni USB device ambayo inakisaidia kifaa ambacho hakiwezi detect WiFi basi kiweze detect... Hii kitu nafikiri inatumika kwenye receiver na Desktop za zamani ambazo haziwezi detect wireless internet Ila bado sijapata association ya hii USB wifi adapter na hiyo Tab yako
richie hassan said: Msaada wireless dongle ni nn?coz nina PC tablet yangu inasoma E nimejaribu Ku set nipate 3g inataka niweke kitu kinaitwa dongle... Je ndo nn Click to expand... Wireless dongle ni USB device ambayo inakisaidia kifaa ambacho hakiwezi detect WiFi basi kiweze detect... Hii kitu nafikiri inatumika kwenye receiver na Desktop za zamani ambazo haziwezi detect wireless internet Ila bado sijapata association ya hii USB wifi adapter na hiyo Tab yako