WINRAR PASSWORD REMOVER

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Wakuu habari za kazi.
Nime download software 6.5 gb iliyo compressed katika Winrar lakini imewekewa password.
Nimeelekezwa kupata password mtandao fulani lakini naona kila nikienda huko inanipeleka kujibu maswali yasiyo na msingi.
Mwenye kujua ninavyoweza kuiondoa hiyo password anisaidie.
Asante.
 
Rudi site ulikudownload hilo file the ndilo utapata password au ingiza jina la hiyo website kama password.

Pia kuwa makini kuna baadhi ya site ni matapeli waongo. File ulilotaka huwenda silo laweza kuwa ni fake hasa hizo site ambazo ukishadownload wanataka ufanye survey.
 
Back
Top Bottom