Wino wa printer huingiliana?

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,606
Printer izi za kutoa picha/Karatasi had ukubwa wa A4... Printer yangu ni Canon Niliponunua nilipewa na wino sasa umeisha nimeenda kununua wala cjaulizwa wa Printer gani nikapewa....Nilipofika kutaka kuweka nikaona jisomee wino nilionunua nikakutana na maandishi FOR EPSON PRINTERS....Sasa nimeona nisiweke nitake ushauri kwa wajuzi hususani wale wa stationary na wadau wengine.
JPEG_20210124_161027_2301100643355684478.jpg
JPEG_20210124_161109_2201973420517095499.jpg
 
Back
Top Bottom