Wino wa printer huingiliana?

Wino wa printer huingiliana?

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,961
Reaction score
3,695
Printer izi za kutoa picha/Karatasi had ukubwa wa A4... Printer yangu ni Canon Niliponunua nilipewa na wino sasa umeisha nimeenda kununua wala cjaulizwa wa Printer gani nikapewa....Nilipofika kutaka kuweka nikaona jisomee wino nilionunua nikakutana na maandishi FOR EPSON PRINTERS....Sasa nimeona nisiweke nitake ushauri kwa wajuzi hususani wale wa stationary na wadau wengine.
JPEG_20210124_161027_2301100643355684478.jpg
JPEG_20210124_161109_2201973420517095499.jpg
 
Kila printer/photocopier machine huwa na wino zake.....ukichanganya utaaribu mashine
 
Back
Top Bottom