Wino wa dhahabu:- Wasaidizi wa viongozi wetu wajifunze hapa

Mkuu Pascal Mimi sikumaanisha huyo, usinichongee mkuu! Ha ha haaaaaa,
Mkuu Manjagata, it's not fair kumuita "li mtu lenu" ni mtu wetu sote you included, haijalishi uko Bongo au ughaibuni, ulimchagua au hukumchagua, hata kama hukupiga kura, akiisha shinda, katika uchaguzi huru na wa haki, Tanzania tunatumia formula ya simple majority, the winner takes it all, anakuwa ndie rais wa wote.

Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli

P
 
Back
Top Bottom