Winny is missing you Edward

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Najua ulinipenda na ulipenda mapenzi yetu yafike mbali zaidi lakini kwangu haikua hivyo.

Nilikuona rafiki tu, kwanza umri wetu unafanana. Wewe mwanamme una safari ndefu kufikia malengo yako so soma kwa bidii ili uje kuishi vizuri.

umeniblock facebook whatsapp n viber. Popote ulipo ujue Winny is missing you.

Mpeni salamu zake.
 
Sasa sisi tutampata wapi tumpe hizo salamu?????
 
Ndiyo hapo mnafutiwa karo kufuja kodi zetuu???eboooh...!
 
We eduwadi msikilize mwenzio
 
Weka na kapicha tumuone huyo winny...
 

Em'nipe hiyo nafas mimi mana nadhan sie twatofautiana umri
 
duh! sisi wenye umri wa kusaka mafanikio tunataabuu!
 

Weka ka number ka cm hapa ilitufikishe ujumbe
 

Weka ka number ka cm hapa ilitufikishe ujumbe
 
miss u tooo dear from E
 
mwandiko tu unaonyesha wewe ni type gani.
 
.......Only you know u love him.. when u let him Go away.....
 
The owner of this ID really know how to make you believe whatever who she/ he is. You already have a picture in your head,it might be a man 50+. Msiamini upesi hivyo,hii ni mitandao.
 
Endelea na maisha yako uliona ajira yako na umbali ndio sababu.Utazalishwa tu kama dadako.

Lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…