Winners and losers; the airtel shares saga

blix22

Senior Member
Jun 23, 2013
190
1,000
WINNERS AND LOSERS; THE AIRTEL SHARES SAGA

Na Mwamba wa Kaskazini

Leo nimeamua kuanza na kichwa cha habari kinachoonesha msisitizo wa jambo lenyewe

Nimerejea kutoka Quanzhou, China na kukutana na habari za Serikali yetu kufanikisha kurejesha haki ya Watanzania iliyoporwa kwa miaka 19 katika umiliki wa kampuni ya Airtel Tanzania.

Sakata hili ingawa si vyema kulitazama kwa mtindo wa nani kachukua ubingwa lakini yajuzu kulitazama kwa nia ya kujifunza katika siku zijazo hivyo si mbaya kuona nani ni nani:

*WALIOSHINDA*

*MSHINDI WA KWANZA:* Ni Watanzania wote ambao wanatamani kuiona Tanzania yenye neema lakini hawajui wanafikaje huko.

Serikali sasa imeanza kulipwa mabilioni na Airtel na yatawekezwa katika miradi ya wananchi ni ushindi kwao wa pointi tatu kuelekea Tanzania ya ndoto zao.

*MSHINDI WA PILI* Ni Dkt. John Pombe Magufuli...bila maono, uongozi na uthubutu wake majadiliano husika yasingefika panapopaswa kufika.

Hongera Mzee wa Chato, katika hili umeweka rekodi.

*MSHINDI WA TATU;* Hawa ni wataalamu wote waliokosa usingizi kusoma, kujenga hoja na kuziwasilisha ipasavyo na hatimaye tukapata pointi tatu.

*WALIOSHUKA DARAJA*

1. PINGAPINGA; Hawa ni wale wote kwa sasa wenye ugonjwa mpya nchini wa kupinga kila kitu. Wanakana hata historia yao.

2. Tundu Lissu: huyu bwege ni mwasisi wa kitu kinaotwa MIGA...eti Tanzania ilipoanza tu kudai chake kwa wawekezaji akakaa na mabeberu katika hoteli moja mara akasafirishwa kwenda nchi moja, wakamfunda aje na kitisho cha "mtashtakiwa MIGA" leo yeye ndio kawa MIGULUBWAJA

Kuna kisa siku moja nitakieleza hapa kwa kina cha *"TUNDULISU; KUTOKA MIGA HADI MIGULUBWAJA."*

Huyu na wenzake wengine hakika wameshuka daraja. Mkatusalimie na jipangeni upya huko mliko.

Niite Mwamba Mwamba, Mwamba, Mwamba wa Kaskazini.
 
GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,398
2,000

Moja ya kituko JF
Mtu mzima anapoamua kujitoa ufahamu, Kiongozi hicho kichwa umepewa ili ufikiri sio kukibeba kama mzigo juu ya mabega

Ulishaambiwa mtu Pumbavu bado hujaelewa nini kinachoendelea kwenye biashara Tanzania?

Biashara sio nguvu ni akili, Unaweza walazimisha Airtell lakini ukasababisha makampuni mengine kutowekeza Tanzania, Hivyo tatizo la ajira halikwepeki

Ishu ya mbaazi na korosho walilazimisha, Leo makampuni ya ununuzi yamefunga biashara na kuamua kurudi India, anayeumia sasa ni mkulima

Hii ishu ya kutishia airtell ina longterm impact baadae, utasikia watu hawaji Tanzania kisa serikali inaingilia sera muda wowote na kuzibadili sheria

Pole tatizo sio wewe, Makosa ni ya wazazi wako kukupeleka shule na vyuo vya kata, Leo unavuna mawazo mgando na kuandika takataka hapa Jf

Zero brain on fleek
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,213
2,000
"You made my day", uchambuzi makini Sana, usio na shaka hata kidogo,big up!

mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,829

Bangi za kuvutia chooni mbaya sana
 
Kahise

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
349
500

Tundu Lissu anawatesa sana? Nilidhani unaandika kitu cha maana, kumbe kama kawaida yako, mwisho unaandika takataka ndani ya JF!!!

Tusubiri tuone..."nyumbani kumenoga". Waambie TCRA wafungie na yale yaliyobaki watanzania watumie mitandao ya serikali! Airtel, TTCL sijui na lingine litakalofuata...,

Wasingekua akina Lissu wanaoweka checks and balances haya unayoyaona leo usingeyaona. Piga makofi na useme Asante Lissu na wenzako.
 
Vonix

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
2,744
2,000
Kichwa chotee kimejaa mavi,nikukumbushe tu kabla hujarukia kwa Tundu Lissu nani na wa chama gani alisaini mikataba ya airtel,unajitekenya kisha unacheka.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
23,163
2,000
"You made my day", uchambuzi makini Sana, usio na shaka hata kidogo,big up!

..mwanzo serekali ilikuwa inamiliki 40% ya Airtel.

..Prof.Kabudi ameweza kupandisha hisa za serekali mpaka 49%.

..na pia kuna malipo ambayo serekali inalipwa kila mwezi na pia kuna gawio.

..Sasa tujiulize huko nyuma Airtel walikuwa wakimlipa nani? Na walikuwa wakilipa kiasi gani?

..isije ikawa kuna MAFISADI yalikuwa yanalipwa kwa niaba ya waTz.

..hatuwezi kusema tumeshinda au tumeshindwa bila kujua kiini cha "MAZUNGUMZO" kati ya Airtel na serekali kilikuwa ni nini.

NB.

..kabla mazungumzo hayajaanza CEO wa TTCL alidai wanao ushahidi kwamba Airtel ni mali ya waTz 100%.

Cc tindo, Nguruvi3,BAK
 
sam macha

Member
Jun 4, 2018
5
45
Nchi hii kuna watu hawapendi kuona Tanzania ikipambana na kushinda hasa kwa yale mambo ambayo hayakufanyika miaka ya nyuma, lakin nawahakikishia watakua disapointed sana maana JPM anazidi kufanikiwa mpaka wanatamani waingie chini ya ardhi
 
Bujoro

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,889
2,000
Acha umama na ww bhana hiv kuna mtz anapenda kuona kila anachofanya rais wetu kiende kombo ili apate hoja, basi huu utakuwa ufara tunajenga nyumba 1 ukifanikiwa tunafurahi wote yakibuma tunalia na kuaibika wote sio wapinzani wala wa chama tawala au wasio na chama.
Nchi hii kuna watu hawapendi kuona Tanzania ikipambana na kushinda hasa kwa yale mambo ambayo hayakufanyika miaka ya nyuma, lakin nawahakikishia watakua disapointed sana maana JPM anazidi kufanikiwa mpaka wanatamani waingie chini ya ardhi
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
41,943
2,000
..mwanzo serekali ilikuwa inamiliki 40% ya Airtel.

..Prof.Kabudi ameweza kupandisha hisa za serekali mpaka 49%.

..na pia kuna malipo ambayo serekali inalipwa kila mwezi na pia kuna gawio.

..Sasa tujiulize huko nyuma Airtel walikuwa wakimlipa nani? Na walikuwa wakilipa kiasi gani?

..isije ikawa kuna MAFISADI yalikuwa yanalipwa kwa niaba ya waTz.

..hatuwezi kusema tumeshinda au tumeshindwa bila kujua kiini cha "MAZUNGUMZO" kati ya Airtel na serekali kilikuwa ni nini.

NB.

..kabla mazungumzo hayajaanza CEO wa TTCL alidai wanao ushahidi kwamba Airtel ni mali ya waTz 100%.

Cc tindo, Nguruvi3,BAK

Hapo sasa, ndio maana nawashangaa wanaosema eti Kabudi kaongea mpaka tumelipwa 1b@month, je ni kweli 1b ndio stahiki yetu?
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
23,163
2,000
Hapo sasa, ndio maana nawashangaa wanaosema eti Kabudi kaongea mpaka tumelipwa 1b@month, je ni kweli 1b ndio stahiki yetu?

..wasiwasi wangu ni mazungumzo kuwa njia ya "kufunika kombe ili mwanaharamu apite."
 
Kang kin

Senior Member
Mar 21, 2017
154
250
Moja ya kituko JF
Mtu mzima anapoamua kujitoa ufahamu, Kiongozi hicho kichwa umepewa ili ufikiri sio kukibeba kama mzigo juu ya mabega

Ulishaambiwa mtu Pumbavu bado hujaelewa nini kinachoendelea kwenye biashara Tanzania?

Biashara sio nguvu ni akili, Unaweza walazimisha Airtell lakini ukasababisha makampuni mengine kutowekeza Tanzania, Hivyo tatizo la ajira halikwepeki

Ishu ya mbaazi na korosho walilazimisha, Leo makampuni ya ununuzi yamefunga biashara na kuamua kurudi India, anayeumia sasa ni mkulima

Hii ishu ya kutishia airtell ina longterm impact baadae, utasikia watu hawaji Tanzania kisa serikali inaingilia sera muda wowote na kuzibadili sheria

Pole tatizo sio wewe, Makosa ni ya wazazi wako kukupeleka shule na vyuo vya kata, Leo unavuna mawazo mgando na kuandika takataka hapa Jf

Zero brain on fleek
Acha upumbavu unadhani wewe una akili kuliko wengine as if unajua sana kufikiri na kuona mambo kuliko wengine kafie mbele
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
41,943
2,000
..wasiwasi wangu ni mazungumzo kuwa njia ya "kufunika kombe ili mwanaharamu apite."

Exactly. Na hilo ndilo lililofanyika. Mbona hatuoni gawio la voda, tigo, halotel nk zaidi ya TTCL na Airtel?
 
Thebroker

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
1,078
2,000
WINNERS AND LOSERS; THE AIRTEL SHARES SAGA

Na Mwamba wa Kaskazini

Leo nimeamua kuanza na kichwa cha habari kinachoonesha msisitizo wa jambo lenyewe

Nimerejea kutoka Quanzhou, China na kukutana na habari za Serikali yetu kufanikisha kurejesha haki ya Watanzania iliyoporwa kwa miaka 19 katika umiliki wa kampuni ya Airtel Tanzania.

Sakata hili ingawa si vyema kulitazama kwa mtindo wa nani kachukua ubingwa lakini yajuzu kulitazama kwa nia ya kujifunza katika siku zijazo hivyo si mbaya kuona nani ni nani:

*WALIOSHINDA*

*MSHINDI WA KWANZA:* Ni Watanzania wote ambao wanatamani kuiona Tanzania yenye neema lakini hawajui wanafikaje huko.

Serikali sasa imeanza kulipwa mabilioni na Airtel na yatawekezwa katika miradi ya wananchi ni ushindi kwao wa pointi tatu kuelekea Tanzania ya ndoto zao.

*MSHINDI WA PILI* Ni Dkt. John Pombe Magufuli...bila maono, uongozi na uthubutu wake majadiliano husika yasingefika panapopaswa kufika.

Hongera Mzee wa Chato, katika hili umeweka rekodi.

*MSHINDI WA TATU;* Hawa ni wataalamu wote waliokosa usingizi kusoma, kujenga hoja na kuziwasilisha ipasavyo na hatimaye tukapata pointi tatu.

*WALIOSHUKA DARAJA*

1. PINGAPINGA; Hawa ni wale wote kwa sasa wenye ugonjwa mpya nchini wa kupinga kila kitu. Wanakana hata historia yao.

2. Tundu Lissu: huyu bwege ni mwasisi wa kitu kinaotwa MIGA...eti Tanzania ilipoanza tu kudai chake kwa wawekezaji akakaa na mabeberu katika hoteli moja mara akasafirishwa kwenda nchi moja, wakamfunda aje na kitisho cha "mtashtakiwa MIGA" leo yeye ndio kawa MIGULUBWAJA

Kuna kisa siku moja nitakieleza hapa kwa kina cha *"TUNDULISU; KUTOKA MIGA HADI MIGULUBWAJA."*

Huyu na wenzake wengine hakika wameshuka daraja. Mkatusalimie na jipangeni upya huko mliko.

Niite Mwamba Mwamba, Mwamba, Mwamba wa Kaskazini.
Reasoning yako haina tofauti na mtu aliye uchi...!
 
Kamundu

JF-Expert Member
Nov 22, 2006
4,429

Tindu lissu amehusika vipi na hili? Je yeye ndiye aliyeuza hizo share? Yeye kausika na umiliki wowote wa hii kampuni? Yeye ndiye kala rushwa yeyote kwenye hili jambo? mwekezaji ni mhindi kumbe kuna wahindi mabeberu siku hizi? Yaani serikali iliyofanya yote haya ya Kiwete na Mkapa Lissu alikuwa mpinzani sasa yeye ndiyo looser wakati yeye alikuwa anapinga!!. Tatizo lenu siasa mbele nchi nyuma na uzalendo mchwara Je walioiba wamefanywa nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom