Porojo ndeeeeefu, haina kichwa wala miguu.
Ulitaka wingu za mvua ya kununuwa Thailand?
Acha hofu mkuu, rais JK ni mtu wa demokrasia sana sema kuna majitu yanayomzunguka ndiyo yanamuharibia na kumpa presha; rejea issue ya Katiba mpya. Jana kaongea kauli ya kidemokrasia, kwamba yuko tayari kukabidhi nchi kwa rais yeyote yule atakayeshinda. Penye kusifia tusifie, penye kukosoa tukosoe.
Kumbuka ni huyu JK aliwaambia CCM wenzake kule Dodoma kuwa, "Wajiandae kisaikolojia kwani wanaweza kung'oka." Kwa hiyo yeye amekwisha jiandaa kisaikolojia tyr, wito wangu ni kwa ccm wengine waige mfano wa rais wetu.
Binafsi, naamini JK hatatuangusha kwa kukataa kuruhusu upinzani kuingia ikulu. Hiki ni kipimo chake cha mwisho kidemokrasia ili atwae tuzo ya Mo. Ibrahim.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Ukawa.
Umeandika mambo mengi lkn nakujibu kwamba ukiwa raia mwema hakuna mahali ambapo utakumbana na Jeshi letu, haya yote Serikali yetu inayoyafanya ni kutulinda raia wema dhidi ya watu wabaya kama fisadi Lowasa, Mbowe Tundu Lisu & Co.!
Wewe siku hizi lazima utakuwa unapiga bange tuu, unachanganya mambo mpaka unatia mashaka.
Hizi ni hoja zinazojengwa na fikra za kihalifu.
Kama vipi, hata jeshi la polisi livunjwe kwa sababu linatishia amani nchini.
Kuna umuhimu gani wa kuwa na polisi bila nyenzo zao za kazi.
kwa kujitoaga akili uko vizur... ili mrad tu ubishane... mwisho wako na fisiem yako ni mtondogoo tuPorojo ndeeeeefu, haina kichwa wala miguu.
Ulitaka wingu za mvua ya kununuwa Thailand?
Swali la kipimajoto
Je ccm inaponunua gari za polisi 777 bila kununua ambulance hata moja au kuboresha huduma za afya kwa namna yoyoye, je ni ishara kwamba nchi ina wakorofi wengi kuliko wagonjwa?
Jibu Ndio
Hapana
Sijui
Tunatakiwa kufahamu kwamba kila jambo lina umuhimu wake, mimi sioni tatizo la serikali kununua magari ya polisi. Wanaochukia hilo ni wale waarifu na wafanya fujo tu, kama ww ni raia mwema utapenda hata kuliona gari la polisi kwa sababu ya uhakika kuwa upo mahala salama.
Pia, Tanzania ina polisi chini ya 40000 na vituo vya kupiga kura vipo zaidi ya 70000 kwa maana hiyo tuna uhaba hata wa hao polisi, mimi simaanishi afya isipewe kipaumbele bali usalama kwanza maana amani ikitibuka ni vita, mkiangalia hata mataifa ya jirani kuna vurugu kutokana na uchaguz tu. Tumejua kwamba Kenya, Rwanda, Burundi, nk kuna ukabila kutokana na uchaguzi tu na si vinginevyo, usalama wetu ni muhimu na afya ni muhimu.
Zile machine za voters' ID ziligharimu 85mn dollars, equivalent to 185.47595bn za kitanzania, mbona hawakusema Serikali imepoteza hela? Si tunahitaji hyo huduma. UKAWA waambieni waache upumbavu.
Huyu anayeandika hii kusema CCM imenunua gari la polisi na sio gari la kubeba wagonjwa ni mchochez wa vurugu tu, na kama ningekuwa askari ningemkamata upesi. Tuache siasa za kuharibu amani ya nchi. Ina maana waliotoa hilo agizo ni wajinga? kila kitu kina muda wake na wala serikali haijakosea kufanya hvyo.
#CCM haijanunua ni Serikali ndo imenunua
..............................MCHAGUE MAGUFULI KWA MAENDELEO YAKO BINAFSI NA TANZANIA KWA UJUMLA.................................................
Lakini serikali iko radhi kuona raia wake wanakufa kwa kukosa madawa hospital, iko radhi kuona wanafunzi wanasomea chini, iko radhi kupandisha twiga ndege, ipo radhi kuona wamama wajawazito wanalala na kujifungulia chini, ipo radhi kuipiga chini katiba ya maoni ya wananchi ?? We should put this to an end for God sake
Haki ya mama mwaka huu tutaheshimiana
Swali la kipimajoto
Je ccm inaponunua gari za polisi 777 bila kununua ambulance hata moja au kuboresha huduma za afya kwa namna yoyoye, je ni ishara kwamba nchi ina wakorofi wengi kuliko wagonjwa?
Jibu Ndio
Hapana
Sijui
Tunatakiwa kufahamu kwamba kila jambo lina umuhimu wake, mimi sioni tatizo la serikali kununua magari ya polisi. Wanaochukia hilo ni wale waarifu na wafanya fujo tu, kama ww ni raia mwema utapenda hata kuliona gari la polisi kwa sababu ya uhakika kuwa upo mahala salama.
Pia, Tanzania ina polisi chini ya 40000 na vituo vya kupiga kura vipo zaidi ya 70000 kwa maana hiyo tuna uhaba hata wa hao polisi, mimi simaanishi afya isipewe kipaumbele bali usalama kwanza maana amani ikitibuka ni vita, mkiangalia hata mataifa ya jirani kuna vurugu kutokana na uchaguz tu. Tumejua kwamba Kenya, Rwanda, Burundi, nk kuna ukabila kutokana na uchaguzi tu na si vinginevyo, usalama wetu ni muhimu na afya ni muhimu.
Zile machine za voters' ID ziligharimu 85mn dollars, equivalent to 185.47595bn za kitanzania, mbona hawakusema Serikali imepoteza hela? Si tunahitaji hyo huduma. UKAWA waambieni waache upumbavu.
Huyu anayeandika hii kusema CCM imenunua gari la polisi na sio gari la kubeba wagonjwa ni mchochez wa vurugu tu, na kama ningekuwa askari ningemkamata upesi. Tuache siasa za kuharibu amani ya nchi. Ina maana waliotoa hilo agizo ni wajinga? kila kitu kina muda wake na wala serikali haijakosea kufanya hvyo.
#CCM haijanunua ni Serikali ndo imenunua
..............................MCHAGUE MAGUFULI KWA MAENDELEO YAKO BINAFSI NA TANZANIA KWA UJUMLA.................................................
na uwe mstari wa mbele sio unaongea tu
NN,Hiyo ndiyo serikali ya CCM.
Kuongoza imeshindwa imebaki na vitisho tu.
Kwa CCM hiyo ndiyo mnayoiita mikakati ya ushindi. Nimekuwa nashangaa sana CCM ilipokuwa inashangilia "ushindi wa kishindo" kwenye chaguzi zote toka 1995.Reality unaijuwa au unakisia tu?
Mkileta mchezo, mjuwe vijana wamejipanga! Mtaisoma namba!
Porojo ndeeeeefu, haina kichwa wala miguu.
Ulitaka wingu za mvua ya kununuwa Thailand?
Mijitu iliyoshiba hiyo achana nayo, mchungaji wa Mungu kweli hawezi kuwaza one sided hivyoKwani hayo magari yatakufuata nyumbani yakushambulie??!!
Hutaki Polisi wawe na vitendea kazi??!!!