Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

Wow.. Mkuu ni wewe kweli??

This is absolutely rubbish

Wapigwe tu ! wewe unakaa kituoni baada ya kupiga kura kwani wewe ni wakala ?
mpigwe tuu si mnajifanya mna jeuri ya kulinda kura ? kutana na wajeda walitoka depo wanavunja matofari kwa kichwa ! Mbona mtaipata flesh na jeuri zenu
 

Magufuli atakuwa RAIS ikiwa KURA zitatosha sio ujanja ujanja
 
....ccm ya watawala wamejipanga kwa lolote kuhakikisha wanabaki madarakani...naona hata tume ya uchaguzi wakikomaa nao bado kuna uwezekano ccm wamalazimisha ushindi...nasema hivi kwa kuangalia kinachojiri leo....hii military immobilization ya kiwango hiki ya nini???nani kawaambia watawala kutakuwa na machafuko kama sio wao kujua hivyo??...unawezaje kujiandaa kwa namna hii kwa jamb ambalo halipo???..tena huku ukijidai mpenda amani???...ni mpenda amani gani anaejiandaa hivi kama anaenda vitani???....hayo maandalizi ni kwa ajili ya kupambana na nani???

....bado najiuliza...naona hali ya hatari sana kuanzia next wiki....ngoja nimalizie shopping yangu ya mahitaji hapa...maana naona shari ya watawala mbeleni.....
 
Reality unaijuwa au unakisia tu?

Mkileta mchezo, mjuwe vijana wamejipanga! Mtaisoma namba!

Wamejipanga kujiangamiza na kujipalia moto wao wenyewe!! mm sitaabiki kwa lolote ndan ya nchi kwan sitegemei salary slip ya lak mbili kama wao!! Nawaonea wao huruma wasivyojitambua just like youu!!
 
Reality unaijuwa au unakisia tu?

Mkileta mchezo, mjuwe vijana wamejipanga! Mtaisoma namba!

Wamejipanga kujiangamiza na kujipalia moto wao wenyewe!! mm sitaabiki kwa lolote ndan ya nchi kwan sitegemei salary slip ya lak mbili kama wao!! Nawaonea wao huruma wasivyojitambua just like youu!!
 


Jamani polisi wenyewe walivyo vilaza hata uniform hawana , nguo zimepauka na viraka juu. wanalala kwenye nyumba za mabati au mahema ,siajabu walitaka waletewe magari badala ya kujengewa nyumba
 
Wamejipanga kujiangamiza na kujipalia moto wao wenyewe!! mm sitaabiki kwa lolote ndan ya nchi kwan sitegemei salary slip ya lak mbili kama wao!! Nawaonea wao huruma wasivyojitambua just like youu!!

Kweli ndugu, wote unaowaona wako mstari wa mbele kuwatesa na kuwauwa wanyonge basi hali zao za kimaisha ziko chini mno kushinda hata hao wanaowafanyia ubaya.

Ndio maana pamoja na mshahara wanaolipwa lakini hawachoki kuwakamata wanyonge na kuwaomba rushwa ili wapate hela za kujikimu! Maana asilimia 90 wako China mbaya.
 
Jamani polisi wenyewe walivyo vilaza hata uniform hawana , nguo zimepauka na viraka juu. wanalala kwenye nyumba za mabati au mahema ,siajabu walitaka waletewe magari badala ya kujengewa nyumba

Kwa upande wangu ninawapa lawama WABUNGE WA UPINZANI maana wao ndio hujiweka kimbelembele kuwatetea watu Wa vyombo vya usalama waboreshewe maslahi yao!!!

Dawa ya hawa mapolisi ni kuzidi kuwakandamiza ili waendelee kuwa na hali duni za kimaisha!! Siku zote dawa ya ubaya ni ubaya tu.
 
...kuna kitu kimoja muhimu ambacho watawala wa TZ wamekua na upofu nacho na hawajataka kujifunza ....pamoja na experiences tele toka kwa mataifa mengine ya hapa hapa africa.....kitu hiki ni kuwa hata watawala wakiwa na nguvu ya aina gani kijeshi...ama kipolisi..bado raia wakiamua mtawala wamtakae watamsimamia hadi mwisho...kwa maana ya matumizi ya nguvu ya umma kudai haki....

...hata uwe na nguvu kiasi gani huwezi kupitisha migari ya kijeshi ama majeshi yako juu ya watu wako wanaodai haki kwa amani....mifano ipo....kina hosni mubarak wa egypt waliondolewa madarakani kwa nguvu ya umma tu...pamoja na kwamba walikua na nguvu ya ajabu kijeshi....Hii ilikuwa uprising..


...TZ watu watajaribu kwa kura...na naona wakiona inashindikana watatoka tu kudai haki...hata kama itawagharimu maisha yao...experience zimeonyesha kuwa penye mabadiliko ya kweli lazima kuwe na sacrifices....lazima watu wajitoe muhanga kwenye kudai haki....na TZ si exception..

...amani ni tunda la haki....hili nalo watawala wanaoondoka TZ hawajajifunza bado...ama hawataki kulielewa...
 
Nderingosha kama huna cha kuchangia kaa kimya,ni dhambi kuongea kitu ambacho huna uhakika nacho kula ugali wako na maharage kalale,lkn elewa kwamba wapo watu wanaonana na familia zao kwa masaa fulani na kurudi kazini kuhakikisha jua linachomoza kesho Mashariki na linakwenda kutua Magharibi.Kiongozi wa nchi ana vyanzo vingi mno vinavyomjulisha yanayojiri nchini kila dk,Uchaguzi utapita vyama vitapita lkn nchi inatakiwa kubaki salama kwa asilimia 100,acha mihemko ya kujazwa upepo ukijifa nya wewe ni raia wa nchi nyingine kiasi kwamba ukiharibu hapa utaondoka kwenda kwenu,wewe ni mmoja wa watuhumiwa wanaotakiwa kufuatiliwa kwa karibu mno ilibkujua where abouts zako.
 
Hata traffic wamepunguza sana kupokea rushwa siku hizi ukikamatwa unalipishwa faini hapo hapo. Sirikali inasruggle kujikosha saa za lala salama. Ni kichekesho kwa kweli kutufanya vibwengo wasio na kumbukumbu!
 
HAKIKA ACHA WAPANDE UBABE MIOYONI MWAO WATAWALA WATAVUNA MAJUTO YA JASHO LETU WANAUKOMBOZI....
-Hainingii akilini na magari tele haya eti kudhibiti RAIA !
 
Immaturity ni kudhani kila kitu kina kuhusu wewe peke yako hizo ndio akili za CDM.

Situation hiko hivi CCM inawafuasi wengi kushinda CDM come UKAWA hilo liko wazi.

Hizo mita miambili aziwahusu wafuasi wa CDM wenyewe na vyama vingine including CCM pia, hata wao pia wanaweza pinga matokeo vilevile those are the facts.

Ukiruhusu watu kukaa sehemu hizo na watu wakaanza kupinga matokeo kwa sababu zisizo za msingi unaweza leta fujo ambazo azina tija bali chanzo ni ushabiki tu, serikari na NEC inachofanya ni kuchukua a responsible approach.

Sasa nashangaa mtu kama huyu mpuuzi mwingine anaejiita Peter Kibatala anaweza kwenda mahakamani kupinga sijui kuuliza hicho kipengele cha sheria unawatakia mema kweli watanzania wenzako this is just irresponsible politics.

Solution kila mtu akiondoka wakaachiwa mawakala wa vyama kuhakiki kura matokeo ya uchaguzi yanakuwa fair vilevile.

Tatizo la CDM ni kudhani huu uchaguzi unawahusu wao tu na hakuna vyama vingine au CCM pia aina makundi ya kubaki kutaka kulinda kura na viongozi kuwahamasisha wabaki pia.

Hivi kwanini inakuwa ngumu sana kuwamaliza hawa wapuuzi wasio na hoja za kisiasa mbona wepesi sana, nchi zingine isingechukua muda mrefu hivi kutabiri ushindi wa magufuli.

Simply UKAWA hawana hoja na ni wachonganishi leo Lowassa kawaambia watu Tanga hela za bandari ya Dar zilikuwa zimeandaliwa Tanga kwanza na akichaguliwa atazirudisha wakati watu washatumia baadhi ya hela kwenye kufanya feasibility and other planning; hoja kama hizi potofu navyojua mimi kwenye siasa za wenzetu azitakiwi kupuuzwa kabisa zinahitaji majibu ya haraka sana.

Yaani hawa jamaa sijui kwanini wengine amuwaoni ni tatizo kubwa sana kwa taifa la Tanzania wanatumia ignorance ya jamii tu kutaka madaraka lakini si wema na wala hawana mbinu zozote.

Kuchaguwa UKAWA ni kuchagua matatizo kwa mtu yeyote mwenye akili timamu ata kama una hasira na CCM
 
Hata traffic wamepunguza sana kupokea rushwa siku hizi ukikamatwa unalipishwa faini hapo hapo. Sirikali inasruggle kujikosha saa za lala salama. Ni kichekesho kwa kweli kutufanya vibwengo wasio na kumbukumbu!

Mkuu umenikumbusha hii kitu hapa.........

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…