Wingi wa rocket angani kuna nini?

Wingi wa rocket angani kuna nini?

dnews-files-2014-05-chemtrails-670x440-jpg.jpg
 
Unaonekana unauelewa na haya mambo?

Rocket ikiwa kule space huwa ina simamaje/huku tunaita ku-land wakati inakamilisha kilichoipeleka?
inazima injini alafu mambo mengine yana endelea!
 
Rocket huwa haiendi nzima nzima kama mkuki kuna boosters capsule.huwa kuna stage booster inaanguka.
 
Hizo ni ndege zinapita Tanzania. Kuna njia kama 4. Kwanza ni south Africa kwenda uarabuni . Hii inapita maeneo ya Dar. Nchi za kusini kwenda Nairobi na Addis hii inapita maeneo ya Dodoma na Iringa. Nchi za kusini kwenda Uganda, misri, uturuki, inapita rukwa, mbeya, mwanza. Kuna nyingine toka Burundi na Congo kwenda Nairobi hii inapita mwanza. Zipo na nyingine
Ndege zimeongezeka kutokana ma kukua kwa usafiri wa anga
 
Rockets??
Hizo ni commercial airlines (ndege za abiria) ziko ktk international airspace kuelekea nchi zingine!!
Huwa zinapita ni kwamba labda huwa huzioni.
Good answer, na zinapita kwa kuomba kama nchi hakuna ulinzi wa anga wanajipitia tu bila kuomba, chombo cha ulinzi wa anga angalia hiyo Avatar yangu kitu hiki kinaitwa S 500 ni cha Mrusi hatari sana NATO hawasogelei anga lako ukiwa nacho.
 
inazima injini alafu mambo mengine yana endelea!
Haha
Fanya unishawishi basi hata kidogo hata kama sijui mzee. Hizi mambo wakati wa kwenda juu zinawashwa kwa aidha moto au joto kali saana. Sasa hayo mambo ya kuzimwa vipi joo
 
Haha
Fanya unishawishi basi hata kidogo hata kama sijui mzee. Hizi mambo wakati wa kwenda juu zinawashwa kwa aidha moto au joto kali saana. Sasa hayo mambo ya kuzimwa vipi joo
hapa duniani mbwembwe zote zile ni kwaajili ya kitu inaitwa escape velocity unajua dunia ina vuta vitu toward its centre of gravity so ili utoke nje ya anga la dunia lazima uwe na nguvu ya ziada kwenda against na mvuto wa dunia hivyo ukishatoka outside anga ladunia hautaji tena zile mbwembwe kwani gravity itakua equal to zero......Nb sijasoma phisics but kama hujaelewa unaweza kuuliza nami nitakupa kile nikijuacho
 
  • Thanks
Reactions: G 6
Haha
Fanya unishawishi basi hata kidogo hata kama sijui mzee. Hizi mambo wakati wa kwenda juu zinawashwa kwa aidha moto au joto kali saana. Sasa hayo mambo ya kuzimwa vipi joo
 
Wakati ule wa vuguvugu la vita baridi nadhani ndio dhana hii ya kuita roketi ndege hizo zipitazo anga za juu...

Watu wengi walikuwa wakiogopa kwa kumithilisha makombola ya mbali na muonekano wa ndege hizo haswa uwepo wa ule mfano wa moshi...
 
Zile ni ndegE za abiria kama wslivyosema wadau wengine. Kule juu sana hewa ni nyepesi kwa ndege inayoenda safari ndefu hupunguza kiasi cha mafuta itakayotumia. Roketi hutumika kupeleka mzigo juu sana zaidi ya km90 kutoka usawa wa bahari huwa na stage mbalimbali ambazo hulipuka kuupeleka mzigo juu kwa kasi kubwa sana(38km/s) vertically hivyo huwezi kuiona rocket kwa naked eye kirahisi huku tulipo. Rockets hurushwa mara nyingi USA, Kazakhstan na India.
 
Hizo ni ndege za abilia zinazo toka nara moja kwenda bara lingine tena ni kubwa mno hata tz inawezekana ikashindwa kutua kutokana na udogo wa viwanja vyetu huo mstali unao uona ni moshi unao toka kwenye injini kusabu ukipanda juusana huwa hakuna upepo kwa hiyo moshi huwa hausambai haraka kutokana na hali ya huko angani
 
Back
Top Bottom