Wingi wa rocket angani kuna nini?

Wingi wa rocket angani kuna nini?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,661
Reaction score
57,066
Kila siku hizi zinapita rocket kwenye anga.kuna project kubwa zimeongezeka zinahusu nini?
 
Rockets??
Hizo ni commercial airlines (ndege za abiria) ziko ktk international airspace kuelekea nchi zingine!!
Huwa zinapita ni kwamba labda huwa huzioni.
 
Sidhani kama zile ni ndege za abiria.. Kwa umbali ule mpaka hazionekani unaona moshi tu.. Haiwez kuwa imebeba abiria
 
Hapa Mwanza Pia zipo, labda zinaongeza ulinzi kwa mh. Rais JPM
Mkuu zile sio rocket ni ndege za abiria na za kimataifa hapa mwanza zinapita juu Sana katika anga la kimataifa ambalo kule juu kuna baridi Sana sasa zile engine za ndege ni za jet zinapovuta upepo kutoka mbele zikapita kwenye propeller na kutokea upande wa pili zinatoa mvuke ambao ndo tunauona then wananchi mnasema ni Rocket ,sio kweli rocket ni za kwenda anga za juu zinarukia China ,America ,Europe na Urusi direct to the space
 
Unaonekana unauelewa na haya mambo?

Rocket ikiwa kule space huwa ina simamaje/huku tunaita ku-land wakati inakamilisha kilichoipeleka?
 
Rockets??
Hizo ni commercial airlines (ndege za abiria) ziko ktk international airspace kuelekea nchi zingine!!
Huwa zinapita ni kwamba labda huwa huzioni.
Ur right mkuu but wabongo wengi wanadhani ni rocket ,kwa kawaida rocket najua zinarushwa sehemu maalum na kwenda katika space kwenye mzingo wa dunia,
 
Back
Top Bottom