Wine aina ya veyula 7500

Hakuna sehemu nimepangia mtu mkuu.
Hapa natoa Maneno matakatifu tu yanayokataza Ulevi.
Sasa kk wewe umeamua kumpinga Mungu basi endelea lkn usishawishi na wengine waingie na Wewe ktk Jahannamu.
Hii ni hatari sana mkuu.

Aya bwana mi nafanya biashara ndo napata hela ya kula na wanangu
 
Lazma utakuwa msabato wewe.
-Ninamajibu tosha ya maswali yako yote na Falsafa zakutosha kabisa.
-Ila lazima ujue kuseparate businesses;Hii ni forum ya uchumi na biashara tu.Ivyo wasiliana na mkuu afungue forum ya dini kama ataona ina tija.Humu hatutaki kuchanganyiwa madawa,dozi ni biashara na uchumi tu.
 
Ningependa kujua kama kuna Divai isiyo na kilevi ? Kama ipo tafadhali ni bp 0628035342
 
Ningependa kujua tofauti kati ya sweet na Dry...ina maana kuna Dompo Sweet na Dry? If yes Je alcohol content ni ile ile moja au?
 
Ustaadhi kahtaan umenifurahisha sana.wagalatia huwa tunajisahau sana. Na ukiwaeleza ukweli kama huu wanapinga.ila kwa kuwa umefanya qoutations.hakuna atakayetia mguu hapa

Wakristo msingi wa Imani yao ni Yesu Kristo, then refer Harusi Ya kana
 
Last edited by a moderator:

Jamani mleta post hajasema chochote kuhusu Ulevi. Hiyo veyula ni wine inaweza tumika kwa kazi mbali. Nashangaa watu wanakimbilia kwenye ulevi moja kwa moja. Mtoa post amesema kwa anayehitaji. Usiyehitaji inakuhusu nini? Akili ndogo bwana!
 
Weka nembo ya TBS, TFDA na TIN namba.

CC Magufuli
 
Last edited by a moderator:
Jamani mleta post hajasema chochote kuhusu Ulevi. Hiyo veyula ni wine inaweza tumika kwa kazi mbali. Nashangaa watu wanakimbilia kwenye ulevi moja kwa moja. Mtoa post amesema kwa anayehitaji. Usiyehitaji inakuhusu nini? Akili ndogo bwana!
Hio wine wewe unatumia Kujipakaa au?
Acheni kutetea Upumbavu nyie walevi.
Wines zinazotumika kwa mapishi sio hii.
Au wewe mwalimu wa ulevi unatumia kila Wine kwa matumizi yyt unayotaka wewe sio?

Unapotaka kutetea kitu jipange kidogo sio kuropoka tu.

Huu ni ULEVI. Na ANDIKO limekataza.
Full stop.
We km huwezi kuacha Pombe endelea kunywa mpk ikuue lkn usijaribu kutetea kwa hoja zako dhaifu namna hio.
 

Mithali 31:3 Kileo hakiwafai wafalme wasije wakatoa hukumu isiyo ya haki,mpe masikini kilevi anywe asahau shida zake.
 

Kama vipi wewe pita tu. We unakaa hapo Mimi naingiza sIku ndugu yangu. Kama huhitaji usijisumbue na usijipe stress.
 
Kama vipi wewe pita tu. We unakaa hapo Mimi naingiza sIku ndugu yangu. Kama huhitaji usijisumbue na usijipe stress.
Muhimu nimekufikishia ujumbe mkuu.
Uamuzi ni juu yako.

Unasema unatafuta chakula cha wanao lkn kumbuka wakati wanao wanakula, watoto wa mwenzako wanakufa kwa ajali brbrni au wanafia hospitali kwa maradhi yaletwayo na huu huu ulevi unao Uza.

Kumbuka hili kila unapowalisha wanao ndugu.

Ahsante sana kwa kunisoma.
 

Waapi wamesema ni dhambi na isinywewe
 
Waapi wamesema ni dhambi na isinywewe
Una fahamu maana ya "OLE WAKO!".

Au mzee umeingia hapa Full kiroba tayari?

Nakuongeza na andiko la agano Jipya Uone Ulevi umewekwa ktk kundi gani hapa.

Wagalatia 5:19-21 ''-Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,-ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,husuda,-ULEVI, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa MUNGU.''

Biblia mnayo lkn Kusoma hamtaki.

Acha Kunywa ULEVI kijana.
Utakufa na Laana ya Mungu.
Na hauto uona wala kuurithi Ufalme Wa MUNGU .
Kwa maana Nyingine UTATUPWA JAHANNAMU Moja kwa moja.
 
Km hunywi ni ww!!!!!huyu jamaa viiip??????...eti ina alcohol % ngapi
 
Hivi kulewa ndo kufanyaje!? Kila anayekunywa pombe lazima alewe!? Tuanzie hapo kwanza..
 
jamani christimasi haijaandikwa ktk biblia ni sikukuu ya kipagani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…