Windows 8 release preview build 8400

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,941
Reaction score
2,183
jamani mwenye activator ya windows 8 release previews build 8400 anisaidie kuipiga chini naona ishu kwa sababu naipenda sana nisaidieni niweze kuiactivate jamani
 
mkuu preview zote ni bure hazihitaji activator. maana ya preview ni kua imetolewa watu waitest. hizo activator ni kwa ajili ya final.

pia sikushauri uendeelee kutumia preview sababu final ishatoka hio itakua na bugs nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…