Windows 8: Msaada

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Wakuu Habari zenyu?
Nahitaji msaada wa windows 8 kama ilivyo. Nipo dar, mwenye kuweza kunisaidia anicheki kwa 0769142586 au ni-PM.

Ahsante.
 
Wakuu, bado sijapata. Tafadharini mwenye nayo ani-pm
 
Hiyo win 8 haijawa officially released. Zilizoko huku mitaani zite ni fake.
 
Kama unayo dola dolars ni pm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ninayo na sipo dsm ila naweza kukuelekeza namna ya kuidownload sababu compressed files ina 3....GB so inakuwa ngumu kuweza kukutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…