Habari zenu wanajamvi? Mimi ninaomba kufahamu kuhusu
Windows 8. Nina Dell Optiplex GX 520 ambayo in Specifications zifuatazo:-
Processor: Core 2 Duo 2.1 GHz,
RAM: 2GB
HDD: ina ukubwa wa kutosha ni 160, c: nimeweka 50GB. Je Windows itaweza ku-run vizuri?? Maana Processor yangu nahisi kama ndogo hivi. Kwa yoyote aliyewahi ku-install Win8 kwenye Computer yenye processor ndogo hivyo anitaariu, Maana nilikuwa PC amabayo specifications zake nimezi- screenshot.
THANKS IN ADVANCE.
View attachment 121614