NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 594
- Thread starter
- #21
mkuu had kwenye U pharmacist upooo!! Umetisha
Tembelea Jf Doctor utajua kwanini anaitwa MziziMkavu.
Respect kwake
Last edited by a moderator:
mkuu had kwenye U pharmacist upooo!! Umetisha
Mkuu SPYMATE Dawa ya kukohoa Changanya kijiko kimoja cha tangawizi na kijiko kimoja cha asali safi kisha kunywa mara nne kwa siku.
DAWA YA MARADHI YA HOMA
Kuoga maji ya baridi pale unapojisikia homa, huondosha machovu ya mwili.
Chai kavu ukaipika pamoja na ndimu kisha uinywe moto moto hutoa joto la mwili na huondoa homa moja kwa moja.
Maji ya balungi uchanganye na maji ya kawaida huondoa homa.
Juice ya apricots uchanganye na glucose au asali uwe unakunywa asubuhi na usiku.
Windows 8 Enterprises Evaluation
Wakuu Nlidownload Hyo Version Ya Windows 8 Illa Ina Siku 90 Trial !! nmejarbo Kutafuta Activator zake sijapata!! mnawezaje kunisaidia Hili Maana Hata Hyo Activator Hapo Imegoma chief-mkwawa NingaR C6 MziziMkavu
Hii Ni Build 9200 Window 8 Enterprises Evaluation
Nliichukua Kwenye Oficial Ms Site... sasa Im Not Sure Kama Nlidownload Developers Versio au Vp???
Hii Ni Build 9200 Window 8 Enterprises Evaluation
Nliichukua Kwenye Oficial Ms Site... sasa Im Not Sure Kama Nlidownload Developers Versio au Vp???
Kama topic inavyo jieleza, ambao mpaka sasa hawaja activate products zao chukueni hii.
MIE NIMELIWA na hii kitu.Nime-download hiyo attachment. nika-unzip, nilipoijaribu kuifungua tu Laptop yangu imezima ghafla. kila niikiwasha inazima pale inapoanza ku-boot.Imegoma ku-boot kwa zaidi ya mara 12.
Wakati mwingine inasema wait preparing restore, kisha inazima ghafla.Nilikuwa natumia review ya win 8.1 pro. laptop yangu ni Toshiba Satellite A200 Series. Hadi sasa nimechanganyikiwa. Ninakazi nyeti sana kwenye pc hiyo. NIFANYEJE?
Ahsante kwa darasa. Hata hivyo, niliiacha ijirudie rudie hatimaye yenyewe ika-boot properly. Ila naona kama iko vulnerable kwa virusi. Baadhi ya antivirus ni kama hazijafanywa compatible na hii win 8.1 reviewkosa ulilofanya ni ku activate review(wakati hutakiwi ku activate) nafkiri 8.1 microsoft washaijua bug yao wamefix na kufanya uhuni huo.
boot safe mode fanya system restore ije siku za nyuma. kwa w8 kuboot kwensa safe mode nafkiri ni shift+f8 au fanya mwenyewe unavojua hadi uingie safe mode
Ahsante kwa darasa. Hata hivyo, niliiacha ijirudie rudie hatimaye yenyewe ika-boot properly. Ila naona kama iko vulnerable kwa virusi. Baadhi ya antivirus ni kama hazijafanywa compatible na hii win 8.1 review
Ni kweli iko poa kuliko win7; iko fasta zaidi hata mwoonekano wake uko vizuri. Unajua ule mfumo wa start bar toka win 95 hadi win 7 japo unatofauti ndogo ndogo lakini ulifika mahali ulikuwa monotonous. Kwa heri, usiku umekuwa mwingi.Siku njema!mkuu ukicompare window 7 na 8(8.1) hii 8 ina afadhali wamejitahidi though bado wana safari ndefu kuifanya iwe secure kabisa.
kuhusu antivirus kukataa sio ishu sababu ni preview bado ina maana makampun ya antvirus ndo yanatengeneza sasa hv ikitoka tu basi na ant virus zitatoka