Wanajamvi salamu,
Naomba msaada maana nime install win 8.1 nashangaa haina excel, publisher wala powerpoint.
Wanajamvi salamu,
Naomba msaada maana nime install win 8.1 nashangaa haina excel, publisher wala powerpoint.
hawaruhusiwi kueka kwenye laptop sababu microsoft ni monopoly wa hilo eneo.
maeneo ambayo w8.1 inakuja na office ni tablet ndogo kama hizi za inch 8 zinazotumia baytrail processor.
kama hujafall eneo ambalo office ni bure unatakiwa kuinunua na bei ni kubwa kidogo kuanzia dola 100 mpaka 800 kutegemea na package.
ila kama upo katika taasisi ya elimu yoyote ile na ofisi imenunua package ya wafanyakasi basi watu wengine walio kwenye hio taasisi mfano wanafunzi watapewa office 365 burreee
Every windows opperating system never comes with any of those my friend. Lazima utafute tena microsoft office, ambayo ni application software, halafu uinstall. Microsoft office ina Microsoft Access, Microsoft Excell, Microsoft Infopath Designer, Microsoft Infopath Filler, Microsoft OneNote, Microsoft Outlook, Microsoft Powerpoint, Microsoft Publisher, Microsoft Sharepoint Workspace, halafu na Microsoft Word. Unaweza ukainstall microsoft office 2007, But pia Kuna Office 2010 ambayo iko more effective. It strikes me though that you may be a first time Computer user.
mso ndo microsoft office?Kaka mkubwa chief-mkwawa naomba uliza. Nje ya topic kidogo.
Eti MS bado hawajarelease MSO katika Android?????
Jamani swali gani hili?[/QUOTE
Mtu akiuliza mjibu, acha dharau kujifanya huoni swali