Sio uvivu Mkuu
MziziMkavu Unajua hii lugha ukiingia kichwa kichwa unaweza ukatoka kapa, unaweza ukajikuta unataka ku-accept command kumbe ndio una-DELETE.
Chukua kwa mfano maneno hayo hapo kwenye web page yao MOJA TU ya kiswahili imejaa maneno kama
- Kipeto,
- Kiolesura,
- Kusanidi,
- Matini katika Vigagula,
- Vikasha ongezi,
- Auni zitaangazishwa,
- Kikatalani,
- Usimbaji fiche!
Just imagine ume-hit Enter Key alafu inakuuliza Je?
unataka matini katika vigagula? ... sasa what's the hell is
matini katika vigagula?