Rabbi Faz Chover
Member
- Dec 25, 2013
- 59
- 2
Salam wapendwa!!!
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona tangazo kwenye Pc yangu likinielekeza kuwa ninaweza kufanya upgrade ya OS yangu kutoka Windows 8.1 hadi Windows 10 ambayo si trial version kwa kifurushi chenye ukubwa wa GB 3 tu.
Kwa kweli ufahamu wangu mimi ni karibia na sifuri kwenye haya mambo za teknolojia hivyo ningependa kujua toka kwenu kama kuna mtu anatumia hiyo Windows 10 anipe ushauri kama inafaa na mimi nijiunge au niachane nayo..
Salam..
pia wameniletea hiyo notification ila bado sijajui fuature zaka nsije jutia
mi naitumia muda mrefu sasa, kama hautumii touch screen unatumia mouse na keyboard nairecomend windows 10 over windows 8.1
-utapata start menu kama ya win 7 lakini yenye features za win 8, app za win 8 sasa hivi unaweza kuzirun kwenye desktop mode pamoja na kuziresize, kuminimize nk
-ina vitu vingi vya kisasa vilivyokuwa kwenye simu vimeongezwa kama
1.uwezo wa kushare vitu toka file explorer
2.notification centre
3.cortana (assistant)
-kimatumizi kama umeshatumia win 8 na 7 basi 10 haitakushinda sababu vitu vingi vipo sawa
Windows 10 itakua available after 29 July
unachotakiwa kufanya nikufanya free reservation lets call it free pre-order ili ikishatoka watakutumia notification ui download na uiweke kwenye...
Uzuri wa windows 10 waweza install technical preview uuangalie tofauti na hapo nenda Youtube uangalie video jinsi ilivo
maelezo kuhusu upgrade notice tulishayajadili humu jamvini
summary
Hauwezi kujutia, kwa sababu Windows 10 imeboreshwa zaidi kutokana na maoni ya wateja na watumiaji. Microsoft wameboresha muonekano wa Windows 10 na pia wameonmgeza features maridadi zaidi. Jaribu kuperuzi pages mbalimbali au ingia youtube uweze kujua mabadiliko utakayokutana nayo kwenye Windows 10
Pitia hapa: Windows 10 Features - Microsoft
Hii yako chief si ni first release??mi naitumia muda mrefu sasa, kama hautumii touch screen unatumia mouse na keyboard nairecomend windows 10 over windows 8.1
-utapata start menu kama ya win 7 lakini yenye features za win 8, app za win 8 sasa hivi unaweza kuzirun kwenye desktop mode pamoja na kuziresize, kuminimize nk
-ina vitu vingi vya kisasa vilivyokuwa kwenye simu vimeongezwa kama
1.uwezo wa kushare vitu toka file explorer
2.notification centre
3.cortana (assistant)
-kimatumizi kama umeshatumia win 8 na 7 basi 10 haitakushinda sababu vitu vingi vipo sawa
Hauwezi kujutia, kwa sababu Windows 10 imeboreshwa zaidi kutokana na maoni ya wateja na watumiaji. Microsoft wameboresha muonekano wa Windows 10 na pia wameonmgeza features maridadi zaidi. Jaribu kuperuzi pages mbalimbali au ingia youtube uweze kujua mabadiliko utakayokutana nayo kwenye Windows 10
Pitia hapa: http://www.microsoft.com/en-us/windows/features

mkuu hv hyo cortana ina be apply tz or
Nahisi Cortana itakua kama google search engine. Itatumia Bing kupull it's searches. Na since i believe (sijaribu cz sipo bongo) Bing is accessible bongo, just like google search, yahoo search etc. Then it should work. Sema you might not be able to access some features that work more in the US and other western countries. But that's where we need app developers to take advantage of that and create an eco system of apps that work with these software and benefit people in bongo. Anyways that's a whole different topic.
Hii yako chief si ni first release??
Maana naona muonekano wa sasa kwenye Start Menu umebadilishwa pamoja na Task bar...
Kuna video imewekwa kwenye hizi notification wanazotuma naona zimetofautiana kidogo maeneo fulani ya muonekano
Nahisi Cortana itakua kama google search engine. Itatumia Bing kupull it's searches. Na since i believe (sijaribu cz sipo bongo) Bing is accessible bongo, just like google search, yahoo search etc. Then it should work. Sema you might not be able to access some features that work more in the US and other western countries. But that's where we need app developers to take advantage of that and create an eco system of apps that work with these software and benefit people in bongo. Anyways that's a whole different topic.
Windows 10 itakua available after 29 July
unachotakiwa kufanya nikufanya free reservation lets call it free pre-order ili ikishatoka watakutumia notification ui download na uiweke kwenye...
Uzuri wa windows 10 waweza install technical preview uuangalie tofauti na hapo nenda Youtube uangalie video jinsi ilivo
maelezo kuhusu upgrade notice tulishayajadili humu jamvini
summary
Sasa mkuu niki install hiyo beta kwa sasa..je ikitoka hiyo final itakuaje?? Wataiblock beta mpaka niweke final version????