Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,966
Wanatumia insider preview, window 10 mobile haijatoka na haina uhakika itatoka lini labda badae sana mwaka huu.umeapdate vipi... mbona wanasema hadi next week au unatumia window insider preview?!!! complex
imeanza kutoka toka january ila wanawapa watu wachache tu. seems kuba bugs za kutosha tu ndio maana wanasita sita. even gsmarena wamesitisha hata kufanya battery test za win 10 sababu haijakaa sawa badoWanatumia insider preview, window 10 mobile haijatoka na haina uhakika itatoka lini labda badae sana mwaka huu.
wakati windows rt inatoka kuna watu kama wewe walisema maneno hayo hayo tablet ni za android na ios (ipad) tu, baadae windows rt ikamezwa na win 10 na sasa hivi ukiuliza tablet nzuri sokoni mtu yoyote mwenye akili atakwambia ni surface pro 3 au 4 au surface book, even ipad pro inaonekana toy mbele ya surface na oem wa android kama samsung, huawei, alcatel, xiaomi na wengine wengi high end tablet zao zinarun windows na sio android.
kwenye simu pia ndipo tunapoelekea sasa hivi core m, processor za intel zipo karibu kuanza kutumika kwenye simu na zikianza na windows phone kuhamia x86 ujue tayari kwenye highend android na ios zitapata pigo kubwa sana. imagine simu yenye driver za pc inayokubali mamilioni ya accessory kama mic za waandishi wa habari, gamepad za console mbalimbali duniani, simu inayoemulate vitu kama gamecube na playstation 2, simu ambayo ukiconect na tv au monitor inakuwa full desktop, buometric security za intel (real sense), cortana na mambo kibao.
future is microsoft, hololens, surface phone, surface pro, surface book[/QUOTE

future is microsoft, hololens, surface phone, surface pro, surface book[/QUOT
Kuongezea mkuu pamoja na kucheza games za zombie na kuedit edit vipicha uchwara,android kariakoo pale kuna mpaka smartphone ya tsh60,000/= kwanini isionekane kwamba inauzika sana!?Kulinganisha wp na android ni sawa na kutaka kulinganisha Land cruiser na three wheel (Bajaj). Android kuongoza kimauzo c sababu tosha ya Ku indicate kwamba ni Os bora kuipita wp, for the simple research I have done nimegundua android users wengi ni wale watu wenye uelewa mdogo na matumiz yao ya simu ni kwa ajili ya kupiga, kutuma msg, kupiga picha, kutumia whatsp, facebook and other social media lakin hawatumii devices zao kwa maswala ya productivity. WP imekaa Kikaz kazi zaidi
Mkuu naona hapo kilichobadilika ni settings na hiyo screen lock lakini hizo fujo nyingine zote zinapatikana kwenye Windows 8.1 Denim Update.Nna Nokia Lumia 630 na Nokia Lumia 620 zote zina Ram ya MB 512 lkn simu wala sio nzito yaani apps zinafunguka haraka sana.cha ajabu hii Lumia 630 kioo ni inch 4.5 lakini haina ku ganda ganda yaani nafanya shughuli zangu kwa raha kabisa. Sasa waambie wanaosifia android wachukue simu yenye kioo inch 4.5 na RAM 512MB kisha waje hapa kutupa feedback. Kuhusu hiyo update ya windows10 ngoja nitaijaribu kwenye lumia 620.maana niliwahi kutumia preview simu ikawa nzito.Nikataka kurudishia 8.1 nikaua simu ila nashukuru nilienda kuiflash Morogoro na sasa inapiga mzigo kama kawaidaNadhani ungekuja na vivid example ya huo uovyo unaouziungumzia wewe.
Hebu cheki tena hii view step by step.
1. Simu ukipewa ikiwa locked inakuwa hivii.
View attachment 327997
2. Ukishaifungua unakutana na home screen ya namna hii.
View attachment 327998
3. Ukiwa hapo unaweza anza access app, kama uliipin katika start. Kama haipo inabidi uswap home screen kuelekea kushoto. Napo utazikuta program zako kama hivii. ( Nimekuwekea Black, na whie themes.. uchague ipi inakuvutia.)
View attachment 328000
View attachment 328001
4. Ukitaka badili settings zako za simu ingia katika settings, napo utakutana na haya.
View attachment 328003
View attachment 328004
5. Say imeingia text. Itapop up juu kama notification. Ukitaka kuiaccess kwa haraka , unaswap tile toka juu kwenda chini kama hivii.
View attachment 328005
View attachment 328006
6. Say unataka cheki phone specs. Nenda katika settings. na huko itaonekana hiviii.
View attachment 328007
View attachment 328008
Just like that. Simple, Perfect and neat view.
Ukiachana na hayo. Ukija katika perfomance, Windows phone na Android phone of the same specs. Android phone itasubiri kwa windows phone. Hili halina ubishi. WP zipo smooth katika operation than Android phones.
Karibu katika ulimwengu wa Window phones boss. Hutojutia.
CC: Chief-mkwawa.
Nadhani ungekuja na vivid example ya huo uovyo unaouziungumzia wewe.

-wp pia ina hotspotAndroid iko very user friendly with many usable options ambazo ni innovative kama. Portable hotspot,Network lock, app installation bila kutumia playstore (.apk), stock media player supporting multiple file formats (mp3,mp4,avi,mkv,bluray) etc.
Im a huge fan of android sababu ya hizo baadhi tu ya useful features. Sio rahisi kuzipata kwingine bila usumbufu.
Kitu kimoja android inaboa ni kwenye battery backup, hio os inakamua charge si kitoto kama ni gari basi ni kama engine ya v8 petrol inavokamua wese