Leo nilidownload win 10 sasa on process of installation laptop ikazima, umeme ulivyorudi najaribu kuiinstall upya inanidai product key yani nimechanganyikiwa msaaada plz!!!!!
Mkuu chini hamna naomba nieleweshe kuhusu windows loader
Mkuu nashukuru sana nimeweza kuactivate window kupitia windows loader na sasa nimeanza kudownload win10.... Vipi kuna possibility ya window kudetect na kurudi kuwa not genuine tena?
Yap inaweza, ila microsoft wanataka watu wote wawe windows 10 so sidhani kama watachukua hatua kali kubania watu
Nimegoogle wamesema pirates wataweza kuupgrade ila win10 yao itakuwa trial, nimeishiwa nguvu bro yani window yangu ilikuwa genuine ila baada ya laptop kuzima wakati wa upgrading nilivyowasha ndio ikawa not genuine, sasa hamna njia yoyote naweza recover product key yangu?
software ikikataa run kwenye compability mode chagua version ya nyuma kama ni win 7 au xp.