Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,293
- 61,282
Wakati wenzetu wanawaza namna ya kujitangaza kisayansi, teknolojia na mawasaliano, sisi tunawaza namna ya kupiga madeal ya wizi wizi.
hii ni ndege maana sjaelewaelewa?? windowless inamaana imezibwakote hamna dirisha kabisa,? au windowless patapotakiwa kuwepo dirusha poko wazi/open! au macho yangu hakiyanani.
Duh hawa jamaa hatuthamini kabisa sisi abiria waoga maana mimi natamani ndege isiwe na madirisha kabisa.
What are they trying to save by not installing windows?Any technological benefits?