PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,183
- 30,185
Hatimae kampuni giant Microsoft wamekiri hadharani kuwa window phone Os haitakuwa na update tena pia wataachana na mambo ya simu,tutegemee update upande wa computer tu
Kulingana na msemaji wao ambae ni mkuu wa uendeshaji wa upande wa simu amedai kuwa wamekuwa wakipoteza shares kwa kiwango kibaya zaidi huku developers wakishindwa kuendeleza apps zao na wengine kuachana na Os yao.
Kitu ambacho kilinifanya nami pia niachane na window ni pale unakuta apps hazina updates huku apps hizohizo kwenye android zinabadilika kila siku
Niliipenda sana hii Os lakini mungu amewapenda zaidi kwaherini window phone