Window laptops Vs Macbook laptops

Hukuelewa kuhusu ndege za mizigo, ndege za mizigo zipo na huwa zinakuja, walichomaanisha ndege za abiria hazitaruhusiwa kuja nchini isipokua ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kwa utaratibu wa waongozaji kuwekwa karantini kwa gharama zao.
Zipo lakini sio direct na ndomaan seller wengi online hawaship kuja Tz kwa sababu hiyo
 
Zipo lakini sio direct na ndomaan seller wengi online hawaship kuja Tz kwa sababu hiyo
Hiyo sio sababu, wauzaji wana uwezo wa kutuma mzigo popote, ukiona hatumi mzigo TZ ujue hajakusudia kuuza soko la TZ au Africa.
 
Hiyo sio sababu, wauzaji wana uwezo wa kutuma mzigo popote, ukiona hatumi mzigo TZ ujue hajakusudia kuuza soko la TZ au Africa.
Kwenye transshipment mziko ni rahisi kuwa damaged or kupotea ambayo ni hasara kwe seller. Hiyo ni moja ya reason.
 
Sawa mkuu zilete angalia machine kama hii matumizi ya kinyumbani inatafuna kila kitu, gaming, video editing, home server etc

https://www.bestbuy.com/site/cyberp...d-white/6362429.p?skuId=6362429&intl=nosplash

Issue kubwa ni namna ya kuisafirisha tu.

Kuna hii

TZS 1,099,988.36 30% Off | IPASON CHEAP Gaming PC Intel 8th Gen G5400 RX560 4G 16G RAM support DVI/HDMI/DP Desktop Computers For Game LOL/TOMB RAIDER/WOW
US $475.3 30% OFF|IPASON CHEAP Gaming PC Intel 8th Gen G5400 RX560 4G 16G RAM support DVI/HDMI/DP Desktop Computers For Game LOL/TOMB RAIDER/WOW|Desktops| | - AliExpress
 
tuanze hapa mkuu, pentium gold kwa zaidi ya milioni hapana, hapa ni wizi wa mchana mchana, kuna desktop za laki 2 kkoo zina nguvu kushinda hio. ndio maana unaona hata reviews ni 1 star out of five.
 
TZS 1,704,090.95 33% Off | AMD Gaming Computer PC Ryzen5 2600/GTX1060 3G DDR4 8G/16G RAM 256G SSD PUBG/GTA5 High-End Desktop Assembly Machine Complete Set
US $736.33 33% OFF|AMD Gaming Computer PC Ryzen5 2600/GTX1060 3G DDR4 8G/16G RAM 256G SSD PUBG/GTA5 High End Desktop Assembly Machine Complete Set|Desktops| | - AliExpress
hii kidogo mkuu ina afadhali, ila ukisoma maelezo yao wanaonekana jamaa hata hawajui wanachofanya kuna uwezekano vitu kama power supply, cooler na vitu vyengine vidogo vidogo vikawa ni low quality. ila kwa ryzen 5 na 1060 hio bei ni nzuri.
 
Back
Top Bottom