Window laptops Vs Macbook laptops

S

sam wilfred

Member
Joined
Nov 23, 2014
Messages
5
Points
45
S

sam wilfred

Member
Joined Nov 23, 2014
5 45
Uchaguzi wa laptop nzuri ni miungoni swala moja wapo muhimu sana hususani kwa graphics designers pamoja na sounds producers bila kuwasahau watu wa maswala ya IT. Sasa kama graphics designer nimekuwa na wakati mgumu hususani katika uchaguzi wa laptops nzuri kwa maswala ya designing kati ya window laptops na Macbook laptops ni zipi zina uwezo zaidi na ni nzuri zaidi kwa maswala ya designing. Toa mtazamo wako unahisi ni laptop zipi ni bora kwenye maswala haya ya designing kati ya window na macbook...
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
20,204
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
20,204 2,000
Nenda Mac Kama una hela za ziada orherwise unapata laptop yenye specs Kali kwa windows kwa Bei nusu ya Mac.

Nimeona MacBook pro mpya imetoka inatumia DDR3 mwaka 2019, Ina Quad core tu, storage 128GB ssd, bila dedicated GPU kwa dola 1300 ambayo ni Kama milioni 3.

Imagine milioni 3 kwenye windows unapata processor Kali yenye core 6 na thread 12, ram za kisasa DDR4, GPU kubwa kuanzia Nvidia 1060 kuendelea, SSD angalau 512GB na ukitaka HDD utapata ma terabyte ya kutosha.
 
Unadhani sasa ni pc gani iko vizuri zaidi kati ya dell Hp Acer na nyinginezo
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
20,204
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
20,204 2,000
Unadhani sasa ni pc gani iko vizuri zaidi kati ya dell Hp Acer na nyinginezo
Uzuri wa PC hauko kwenye Brand Bali unachotaka kufanya, sema software yako nzito kabisa unayotaka kutumia then tutaangalia requirement zake na kuchagua specs kutokana na requirements.
 
S

sam wilfred

Member
Joined
Nov 23, 2014
Messages
5
Points
45
S

sam wilfred

Member
Joined Nov 23, 2014
5 45
Uzuri wa PC hauko kwenye Brand Bali unachotaka kufanya, sema software yako nzito kabisa unayotaka kutumia then tutaangalia requirement zake na kuchagua specs kutokana na requirements.
Issues nzima za designing, editing pamoja na graphics na mostly huwa natumia Adobe Master collection na kazi zangu nyingi natumia adobe illustrator, adobe photoshop, Adobe premier pro, pamoja na adobe after effect.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
20,204
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
20,204 2,000
Issues nzima za designing, editing pamoja na graphics na mostly huwa natumia Adobe Master collection na kazi zangu nyingi natumia adobe illustrator, adobe photoshop, Adobe premier pro, pamoja na adobe after effect.
At minimum kwa budget Ndogo Kama unafanya serious Editing utahitaji laptop ya Ryzen 5 ambazo zinapatikana as low as dola 400 ambayo ni Kama milioni 1 hivi.

Zipo model za Lenovo, HP na Dell

Cybergates

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Messages
305
Points
1,000
Cybergates

Cybergates

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2016
305 1,000
Dha kuna iyo moja ya dell inaitwa ALIENWAVE M15 - M17 hizi ni kwaajili ya magemu lakin spc zake ni hatari , Saiv sina tu mihamala lkn lazima nije nichukue M17 kwa ajili ya mambo yangu
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
20,204
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
20,204 2,000
Issues nzima za designing, editing pamoja na graphics na mostly huwa natumia Adobe Master collection na kazi zangu nyingi natumia adobe illustrator, adobe photoshop, Adobe premier pro, pamoja na adobe after effect.
Kama una Budget nzuri kuanzia dola 800 unapata laptop za i7 8750 ambazo Zina nguvu kushinda desktop yoyote ile ya i7 7th gen kishuka (mainstream). Na utapata GPU decent Kama Nvidia gtx 1050 ti
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
20,204
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
20,204 2,000
Dha kuna iyo moja ya dell inaitwa ALIENWAVE M15 - M17 hizi ni kwaajili ya magemu lakin spc zake ni hatari , Saiv sina tu mihamala lkn lazima nije nichukue M17 kwa ajili ya mambo yangu
Alienware zipo vizuri ila nazo kuwa makini nyingi ni overpriced.
 
epson

epson

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Messages
536
Points
250
epson

epson

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2012
536 250
Kama una pesa nenda Macbook Pro hutajutia, nina laptop moja inayotumia platform ya window: HP ENVY CORE i7-7500U, 16gb ram ssd na nyingine inatumia MacBook Pro: 8gb ram, kwenye perfomance MacBook is always above. changamoto iko kwenye space, MacBook yenye storage ya 512 SSD ni gharama sana
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
20,204
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
20,204 2,000
Kama una pesa nenda Macbook Pro hutajutia, nina laptop moja inayotumia platform ya window: HP ENVY CORE i7-7500U, 16gb ram ssd na nyingine inatumia MacBook Pro: 8gb ram, kwenye perfomance MacBook is always above. changamoto iko kwenye space, MacBook yenye storage ya 512 SSD ni gharama sana
Mkuu i7 7500u sio processor nzuri kwa watu ambao wapo serious na Video editing, inapitwa Hadi na i3 kwenye series za proffesional.
 
Forum statistics

Threads 1,313,882
Members 504,678
Posts 31,807,180
Top