Window defender kwenye Window 8.1

Window defender kwenye Window 8.1

KACHINJA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
1,262
Reaction score
871
Msaada pc yangu inatumia window 8.1, tatizo window defender haifanyi kazi ingawa shortcut yake ipo ila nikijaribu kutafuta kwenye orodha ya app inakosekana.
 
Ukieka ant virus nyengine hio hupotea automatic. Kama unayo hio AV itoe kwanza then defender itarudi.
 
Window defender pekee inatosheleza kuilinda pc?
 
Ukieka ant virus nyengine hio hupotea automatic. Kama unayo hio AV itoe kwanza then defender itarudi.

Hivi chief hii window defender ina uwezo wa kuzuia virus vusumbufu visiidhuru pc kikamilifu kweli,maana yake huwa naiona kama ipo shallow sana,unakuta ukiingiza flash kama ina virus smadav inadetect fasta,lakini ukitaka kuscan kwa kutumia hiyo window defender haifanyi chochote,hebu nitoe ushamba mkuu
 
Hakuna Av kamilifu mkuu, ila windows defender inafanya kazi vizuri tu, kama bado una wasi wasi tafuta ant malware kama vile malware bytes irun sambamba na defender, hizi za malware huwa hazi conflict na Ant virus zinakuwa zinasaidiana.
 
Haina noma Chief,ngoja niitafute hyo malware nianze kuitumia tena hyo program,manake nilikuwa nikikuta mtu kaweka antivirus nyingine namwambia unapoteza hela bure mbona windows inapiga mzigo fresh tu,na wao wakawa wananichallange eti windows inaprotect window to na sio antivirus,haiwezi kuua virus,nikawa naanza kuaamini ingawa mm sio mjuvi sana
 
Hivi chief hii window defender ina uwezo wa kuzuia virus vusumbufu visiidhuru pc kikamilifu kweli,maana yake huwa naiona kama ipo shallow sana,unakuta ukiingiza flash kama ina virus smadav inadetect fasta,lakini ukitaka kuscan kwa kutumia hiyo window defender haifanyi chochote,hebu nitoe ushamba mkuu
Ndugu smadav sio kinga(ant virus) iliyo powa.maana kazi yake ni kushitikiana na nguvu ya virus.kama unatumia 8,8.1 tumia windows defender peke ake mda wote uwe una update na cuscan means uwe unaingia kwa Internet. Alafu weka program ya USB scan. Ukishindwa apo nunua karspasky
 
Msaada pc yangu inatumia window 8.1, tatizo window defender haifanyi kazi ingawa shortcut yake ipo ila nikijaribu kutafuta kwenye orodha ya app inakosekana.
Windows defender haina uwezo wa kudbibiti virus ndo mana unatakiwa uwe na antivirus. Sana sana windows defender imejikita kwenye unwanted programs.
 
Haina noma Chief,ngoja niitafute hyo malware nianze kuitumia tena hyo program,manake nilikuwa nikikuta mtu kaweka antivirus nyingine namwambia unapoteza hela bure mbona windows inapiga mzigo fresh tu,na wao wakawa wananichallange eti windows inaprotect window to na sio antivirus,haiwezi kuua virus,nikawa naanza kuaamini ingawa mm sio mjuvi sana
Mkuu ulikuwa sahihi Windows defender inafanya kazi vizuri tu, usiwe na wasiwasi juu ya hilo. Malware bytes itakulinda tu na threat za kisasa maana siku hizi si kila kinachovamia computer ni kirusi.
 
Pamoja sana chief
 
Ndugu smadav sio kinga(ant virus) iliyo powa.maana kazi yake ni kushitikiana na nguvu ya virus.kama unatumia 8,8.1 tumia windows defender peke ake mda wote uwe una update na cuscan means uwe unaingia kwa Internet. Alafu weka program ya USB scan. Ukishindwa apo nunua karspasky

Pamoja sana mkuu,ushauri wako nimeuchukua,thanks
 
Back
Top Bottom