MADARAKA DANIEL
Member
- Oct 26, 2012
- 93
- 22
Computer yangu imegoma kuunga wireles,natumia window 8 na nimejaribu njia nyingi za kutatua tatizo hili lakin wapi,drive ziko poa kabisa,nimekwenda kwenye setting nika swich on wireless inanigomea,na hapo ndipo kwenye tatizo.jaman kama kuna mtu anajua maujanja anisaidie kwa hili wanajamvi..