Salaamu sana wadau! Jamani nilikuwa nimeinstall window 8 kwenye PC yangu bahati mbaya ika collapse, niliamua kuinstall window 8 tena, lakini baada ya kupiga window local disk D haifunguki inanilazimisha nii formate kwanza, nifanyeje ili niweze kunusuru vitu vyangu vilivyo kwenye hard drive D, msaada wenu ni mhimu sana Wataalamu.