Anicet mchomvu Member Joined Apr 18, 2012 Posts 95 Reaction score 213 Dec 7, 2013 #1 Jamani wadau naombeni mnisaidie jambo,Mimi natumia window 8 lakini ninapotaka kuangalia Pc information inakata na kunirudisha mwanzo na baadae nilipogundua nikakuta Product ID not available ndo sababu ya tatizo cjui sasa mnanisaidiaje wadau?
Jamani wadau naombeni mnisaidie jambo,Mimi natumia window 8 lakini ninapotaka kuangalia Pc information inakata na kunirudisha mwanzo na baadae nilipogundua nikakuta Product ID not available ndo sababu ya tatizo cjui sasa mnanisaidiaje wadau?