win32system.vbe msaada jinsi ya kumtoa huyu

win32system.vbe msaada jinsi ya kumtoa huyu

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
171
kila nikiwasha mashine inatokea information ikionyesha error ya win32system so inatatuliwaje hiiimsaada plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Tafuta software kwenye internet inaitwa Hijackthis kisha download na install, Kisha i-run utakuta katika search yake kuna result za hiyo win32 error piga tick kisha delete. umemaliza mkuu restart hautaiona tena.
 
Poa ngoja niifanye hiyo
 
Back
Top Bottom