MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,740
- 1,004
Bila shaka nimeshuhudia mwezi march na April redio stations na TV station za Bongo zimetekwa na nyimbo ya Dogo Willy Paul aliyemshirikisha mpenzi wake Dada mjamaica mwenye asili ya marekani Alaine, ambae ameamua kuhamia Kenya na kufunga ndoa na Dogo Willy
Yes I do! Ni nyimbo nzuri sana, na ni kwa Mara ya kwanza nyimbo ya mkenya kubamba na kutop list za top 10 za Bongo, kwa mda mrefu...
Wasanii Kenya kazeni, mnamlima mkubwa kupanda kufikia viwango vya Rayvany, Harmonize, Darasa, na Kiba na King Mond mwenyewe...