Wimbo wa Taifa wa Afrika Kusini!!

Kapinga

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
727
13
Wadau ni hoja ndogo tuu...to my knowledge huu wimbo wameupata 1994 pale mandela alipochukua nchi...the tune whatever u wanna call it sounds too similar to the Tanzanian National Anthem..did we get any credit??
jus asking.....
 
kwa ufupi tu ni sisi watanzania ndio tulichua hiyo tune ya South Africa, huo wimbo ni wazamani sana (NKOSI SIKELELI), wakati ule kipindi cha Nyerere katika vuguvugu la ukombozi Africa, huo wimbo ulichukuliwa kama ni wimbo wa Africa na nchi kama Zambia, Zimbabwe na Botswana walikuwa wanatumia tune hizohizo, lakini Zimbabwe walibadilisha 1985, Botswana 1967, lakini Zambia mpaka leo bado wanatumia hiyo tune, lakinim kwa south Afrika japo wanaanza katika ile tune original lakini wamefanya modification kidogo
 
Naam Kituko umenena. Huo wimbo ulitungwa na Mwanakwaya wa Kisauzi mwishoni mwa karne ya 19. Sisi ndio tumeazima mirindimo kutoka kwao. Tukumbuke kuwa ANC ni chama kikongwe kuliko TANU/ASP/CCM.
 
Na kwa kweli mimi baada ya kujua hivyo hisia zangu za kizalendo kwa wimbo huu zilipungua kidogo; maana nashindwa kujivunia wimbo ambao unahamasisha nchi nyingi. Najisikia vizuri kwa wimbo wa Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Na hata kuwasha mwenge na Tazama Ramani pia ni nyimbo zinazonigusa sana. Kasoro yake tu sijui beti zote za Tanzania nakupenda kwa moyo wote, nitashukuru kama kuna mtu atakayeweza kuniandikia hapa ili nizikariri.

Natanguliza shukurani.
 
kwa ufupi tu ni sisi watanzania ndio tulichua hiyo tune ya South Africa, huo wimbo ni wazamani sana (NKOSI SIKELELI), wakati ule kipindi cha Nyerere katika vuguvugu la ukombozi Africa, huo wimbo ulichukuliwa kama ni wimbo wa Africa na nchi kama Zambia, Zimbabwe na Botswana walikuwa wanatumia tune hizohizo, lakini Zimbabwe walibadilisha 1985, Botswana 1967, lakini Zambia mpaka leo bado wanatumia hiyo tune, lakinim kwa south Afrika japo wanaanza katika ile tune original lakini wamefanya modification kidogo

Nimekupata mkuu..asante kwa historia fupi ya wimbo huu..wengine miaka yote tumeimba shule za msingi na hatuja wahi ambiwa origins zake....mpaka tuliposikiliza kwa makini wa wa sauzi ndo maswali yakaanza!!
 
Mimi naona Tanzania no bora tukabadilisha tune ya wimbo huu na kufata tune zetu za asili. Au hata kutumia Tune za wimbo wa Taifa wa ZANZIBAR.
 
kwa ufupi tu ni sisi watanzania ndio tulichua hiyo tune ya South Africa, huo wimbo ni wazamani sana (NKOSI SIKELELI), wakati ule kipindi cha Nyerere katika vuguvugu la ukombozi Africa, huo wimbo ulichukuliwa kama ni wimbo wa Africa na nchi kama Zambia, Zimbabwe na Botswana walikuwa wanatumia tune hizohizo, lakini Zimbabwe walibadilisha 1985, Botswana 1967, lakini Zambia mpaka leo bado wanatumia hiyo tune, lakinim kwa south Afrika japo wanaanza katika ile tune original lakini wamefanya modification kidogo

Kuna uwezekano kuwa Zimbabwe walibadilisha wimbo wao 1994, check facts zako.

Na vilevile inasemekana baada ya Nyerere na Kaunda kuachia madaraka, Mugabe alitegemea ndie angefuatia kuwa kiongozi mwenye influence kwenye nchi za SADCC na za ukombozi, lakini wakina Companero na waafrika wengi wakaweka mapenzi kwa Mandela na kumfanya Mugabe kama relic. Mugabe akaMind na kubadilisha wimbo.
 
wacha tuendelee kukopi mwanawani. nani hapendi dezo? Kwa nini tuumize vichwa wakati vya dezo vipo? Lakini bwana Lunanilo umenigusa sana. Hata mimi nahusudu sana ule Winmbo wa Tanzania Tanzania, nakupenda kwa limoyo lote, ... yaan bomba Mwanawaan! Hilo ndolo ilifaa kulising kama jimbo la taifa kudaadeekk! bac ti wazushi wengi.
 
Kuna uwezekano kuwa Zimbabwe walibadilisha wimbo wao 1994, check facts zako.

Na vilevile inasemekana baada ya Nyerere na Kaunda kuachia madaraka, Mugabe alitegemea ndie angefuatia kuwa kiongozi mwenye influence kwenye nchi za SADCC na za ukombozi, lakini wakina Companero na waafrika wengi wakaweka mapenzi kwa Mandela na kumfanya Mugabe kama relic. Mugabe akaMind na kubadilisha wimbo.

Miafrika kama Companero nuksi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom