Dogo ni hatariAnasema mkubwa fella kachukua flash yake, ndipo dogo alipoamua sasa mkubwa fella abaki na flash huku dogo akiangusha mizigo yote iliyopo kwenye flash
[emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji16][emoji3]
Ndio wimbo pekee wa aslay nauelewa!Wakuu!
Sijawahi kuandika chochote kuhusu huyu Dogo Aslay ila kwa huu wimbo wa natamba imebidi nimsifie kwa kazi nzuri, amekuwa akitoa nyimbo nzuri sana ingawa ni kwa mfululizo lakini namuelewa sana.
Kiujumla dogo ameonyesha kuwa hata kwenye yamoto bandi yeye ndo alikuwa kichwa, namshauli apate uongozi mzuri zaidi atafika mbali maana anakipaji halisi na uwezo mkubwa.
Asante kwa wimbo wa natamba binafsi nimekuelewa sana.
Sijui nyie wana jukwaa mnauzungumziaje huu wimbo?
Anajua sana kiba sain ichi kwichwa tema ommy dimpozi kama ww kweli mkurungenzi wa Rstar4000